Nina wazo la kuanzisha michezo kama ya fear factor na wipeout hapa Tanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
nimepata wazo hilo kwa sababu karibia tanzania itaingia kwenye digital,hivo nikianzisha vipind hivo nitauza kwa channel za tanzania,na nchi nyingine za afrika mashariki baadae nitauza ata kwa channel za nje.
nitakuwa natoa zawadi za pesa nzuri tu kwa washindi,mnasemaje kwa ilo wazo langu
 
Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,666
2,000
Wazo zuri. Wachina wamefika mbali kwa kuiga ...esp vipindi vya tv
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
duh ..... ndiyo michezo gani hiyo jamaa yangu

mkuu ni michezo migumu lakin ni lahis ukiwa na moyo,naweza nikakuingiza kwenye jeneza kisha nikakufunika na minyoo kwa dakika 3 harafu nakupa million kazaaa,michezo ya aina mbalimbali tu usijali
 
mama dunia

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
421
0
nimeipenda idea, napenda sana wipeout Uk, na ile sijui ya japan huwa tunacheka sana na mtoto wangu, ila nafikiri inaweza kutaka kamtaji hivi ya kununua yale mavitu sijui kutengeza mabwabwawa hivi au we unataka kufanya ki-animation hahaha? Good lucky nitasupport
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
nimeipenda idea, napenda sana wipeout Uk, na ile sijui ya japan huwa tunacheka sana na mtoto wangu, ila nafikiri inaweza kutaka kamtaji hivi ya kununua yale mavitu sijui kutengeza mabwabwawa hivi au we unataka kufanya ki-animation hahaha? Good lucky nitasupport

asante sana mimi ni mpenz sana wa wipeout canada,naamin naweza kuna wataalamu wa kuyafunga ttoka marekan nimejaribu kuongea nao,wamesema kunijibu,najaribu kufatilia sababu tanzania tunaingia digital,na itakuwa rais sana kuuandaa na kuuza vipind
 
SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
3,949
2,000
Tunakuombea ufanikiwe katika hilo wazo lako! Ila fanya haraka kabla hatujakuibia hiyo idea.
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
16,279
2,000
sasa na wewe siutakua umeiga? kwanini usibuni kitu kingine cha maana zaidi? kuliko kufikiria mawazo ya mwenzako? kuna mambo mengi sana yakufanya zaidi ya kuiga from fear factor..
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
9,368
2,000
Napenda sana kuangalia Fear factor hasa kile kipengele cha misosi..wanapokula wadudu mbalimbali! Wipe out pia ni kipindi kizuri! Angalizo tu mkuu wale wahusika wote inabidi uwakatie bima just in case! Then ina hitaji vifaa vya kisasa! Kuiga sio kubaya kama unaiga mazuri!
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,965
2,000
nimepata wazo hilo kwa sababu karibia tanzania itaingia kwenye digital,hivo nikianzisha vipind hivo nitauza kwa channel za tanzania,na nchi nyingine za afrika mashariki baadae nitauza ata kwa channel za nje.
nitakuwa natoa zawadi za pesa nzuri tu kwa washindi,mnasemaje kwa ilo wazo langu
wazo zuri sana ila ni ushauri tu unapokua na vitu kama hivi wewe unatakiwa ukaushe ingia mzigoni..fanya mabo baadae watu tutakuja kuona tu maana unaweza ukaibiwa wazo na kitu chenyewe hujakiprotect legally( ipr) halafu baadae ooh..kaniibia etc..ni ushauri tu..mia
 
mourad77

Senior Member
Sep 13, 2012
176
0
Sikupingi mkuu Ila wazo lako kwa kwetu afrika espcly Tanzania Hutoweza Wipe Out imezoeleka saana kwenye nchi zenye Baridi na sio Tropical countrys, chukulia Wipe Out ya Australia Theluji inawasaidia kiasi kikubwa kuhusu FF Fear Factory inahitaji namna ya kuwapata wahusika walio Mashuhuri na Sio Maarufu yani watu mashuhuri kabisa Afrika kama si Duniani ili watu waweze kumuona mtu kama Drogba, JB Mpiana au yoyote akichezea Nyoka akila mchwa,Nzii nk. mwisho Nakupa ushauri kama Una Bajeti ya Kutosha unaweza Kuanziasha TANZANIA A MINUTES TO WINNING Kwanza huana Gharama kubwa kama Wipe Out na F F ambazo zinahitaji miundo mbinu ya gharama A Minutes to Win hakika vituo vya Televishen Vitakugombea kama mpira wa Kona angalia A Minutes to Winning India au USA/UK
 
asante sana mkuu,nitafanyia mpango wazo letu
 
Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
wazo zuri sana ila ni ushauri tu unapokua na vitu kama hivi wewe unatakiwa ukaushe ingia mzigoni..fanya mabo baadae watu tutakuja kuona tu maana unaweza ukaibiwa wazo na kitu chenyewe hujakiprotect legally( ipr) halafu baadae ooh..kaniibia etc..ni ushauri tu..mia

mkuu umeongea ukweli kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom