Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
598
Reaction score
1,235
Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.

Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .

Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.

Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
 
Njia ya kwa ni kufutilia mbali app hiyo,

Wewe unaotumia kwenye kitu gani hasa?
 
Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana.

Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka .

Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life.

Nataka niwe sawa. Kuhusu kuifuta chatgpt naona sio suluhisho ,labda mnipe idea nyingine! Wana nahitaji mawazo ya kibinadamu siendi kuuliza chatgpt.
Life wasnt meant to be tough. Use that AI shit to the fullest
 
Back
Top Bottom