Nina ujauzito - nimekata tamaa

Nina ujauzito - nimekata tamaa

Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Tulia mdogo wangu, usikate tamaa kiasi hicho. Wewe siyo wa kwanza kupatwa na jambo kama hili. Tuliza kichwa kwanza.
 
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.

Acha kudanganya watu na akili zao ungekuwa una nia hiyo ungeshakunywa bila hata kutangaza hapa kwanza hii story ni ya kutunga
 
asinywe sumu kwa sababu ameshakufa tayari ila sasa nilikuwa nawaza wakati wa kujoleshana walikuwa wote matokeo yametoka mmoja anakimbia maana yake ni nini ndo maana nalaumu mwanaume

tatzo linakuwa ni ufinyu wa akili kwa baadhi ya wanaume....... Lakin anafikir kunywa sumu ni kumkomoa nan?
 
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.

Pole sana ila wanaotaka kujiuaa hawatoi taarifa huwa tunaenda tu msibani
 
acha pumba ww, kama huna la kumshauri piga kimya. Huna tofauti na muuaji tu. Nyie ndio mnaokataa mimba.

sijawahi kukataa mimba. We pimbi umemshauri nini na unajuaje kama unayemshauri yupo hai au ashakunywa hiyo sumu?
 
Kuna dawa ya wadudu inaitwa diazon nunua unywe hiyo ndiyo utakufa haraka.
 
tatzo linakuwa ni ufinyu wa akili kwa baadhi ya wanaume....... Lakin anafikir kunywa sumu ni kumkomoa nan?

ni wazo la kijinga a ufinyo wa kufikiri anatakiwa alkomae tu ... ndo changamoo za maisha tu
 
Jamani nakuja hapa kuwatangazia muanzisha thread hatunaye tena
MOds naombeni mtoe hii post
:disapointed:

avatar47268_8.gif
hivi huyu ni wewe pia/ ulikuja pata ule mchumba kwa sababu naona na wewe umekata tamaa
 
Pole sana dada kwa mkasa kujiua sio suruhisho maana wewe sio wa kwanza kibebeshwa mimba na kukataliwa. Jaribu kuwashirikisha baadhi ya ndugu zako kama watakuwa tayari kukupokea ili ukailee mimba yako. Ukiona wamekukatalia basi fanya utaratibu ukaitoe hiyo mimba ingawa sio jambo jema.
 
Khaaaa! Bado hujafa tu!

Sometime baadhi yetu wanawake ni wajinga, pata ujauzito ukiwa unajua unaweza kulea mimba na mtoto bila kutegemea mwanaume, tatizo baadhi tunakurupuka kuamua mwisho wake ndio huu.

Aisee uamuzi wako ni mzuri kuliko ungeamua kuua kiumbe kisicho na hatia bora ufe nacho pamoja.
 
kama umeshajiua basi utuambie maana tusije tukawa tunashauri hewa...
 
Haya njoo kwa Yesu maana alikuja kwa ajili ya wenye dhambi japo unaonekana kinacho kuuma ni kukataliwa na hilo gumegume na wazazi wako kukukataa,Yesu atakurehemu ukijuta juu ya dhambi ya uzinzi uliyofanya na atukupa mlango wa kutokea.....".Nimekuja kutafuta na kuokoa kilicho potea"
 
Back
Top Bottom