Cha kujifia baada ya dakika 90 za matazamio ni nn?Sema tu kwa sababu biashara ya kubashiri ni hatari kwa afya! Ila hiyo milioni 5 yote ungeiweka mezani tar. 25 ya mwezi huu kwa timu yenye 'odds' nyingi (sijui nimepatia 🙄)
Haki ya nani ndani ya dakika 90 tu ungeondoka na milioni 15 na ushee!!
NB: Don't try this at home!
Wapi mzee ulipo! Viwanja 60, silent inn, Katindiuka, Lipangalala, Lumemo, Kibaoni, Kining'ina, Mahutanga, Idete, Mwembetogwa, 😁😁😁😁Mkuu nenda ifakara kanunue mpunga na baadae uuze mchele coz mwaka huu mpunga umeanza kupanda kwa kasi sana....hivi sasa kwa mjini ifakara gunia 80000 huku bei ya shamba 60000 hivyo basi uwezekano wa kufika gunia laki moja mpk laki na ishirini upo mkubwa sana hapo bado hujakoboa kuja mchele ndio utapata faida kooooooooooh!!!mimi nipo huku
mkuu nimejikuta nacheka sana mimi mtu wa muholaaaaaWapi mzee ulipo! Viwanja 60, silent inn, Katindiuka, Lipangalala, Lumemo, Kibaoni, Kining'ina, Mahutanga, Idete, Mwembetogwa,
Bila kusahau mbasa,muhola,kapolo,kikwawilaWapi mzee ulipo! Viwanja 60, silent inn, Katindiuka, Lipangalala, Lumemo, Kibaoni, Kining'ina, Mahutanga, Idete, Mwembetogwa,
Siku hizi mambo ya kuweka mazao gharani ili kuja kuuza badaye yamepitwa na wakati sana, huu ni msimu karibu wa nne bei za mchele hazipandi, hapo ina kuwaje?na na mchele miezi sita tu unaanza kuharibika.Shinyanga Mchele unapatikana unaweza uweka store na ukauza baadae kwa bei kubwa. Pia jitahidi tafuta wateja wakenya achana na miyeyusho ya wabongo