Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

Nenda Mitaa ya Uswahilini tafuta sehemu Fungua Gengesoko,Yaanu kila kitu kinapatikana kuanzia Nafaka,Mbogamboga,Mafuta na Nazi Na Kadhalika vyote weka hutojuta.
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

#0658357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

Tunafanya Delivery Nchi Nzima
 
Unafanya biashara hii kwa hapa dar
Milioni 2 sawa na kilo 650 za mchele uwezi pata fwaida kwa mtaji huo
Huo mtaji wako wa m 2 biashara yake hii hapo chini
IMG_20230326_094347_974.jpg
 
Ninaomba kwa wenyeji wa Morogoro, nisaidieni biashara ambayo itanisaidia nipate faida, nina mtaji wa 2m, eneo ni Morogoro Mjini.

Msaada wenu wenyeji
Kwa ushauri fanya biashara ya mgahawa apo

SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE chakula kinatoka Sana maana kwa hicho chuo bado uhitaji wa chakula kwa wanachuo ni mkubwa kikubwa

1: Fanya huduma yako kuwa tofauti na migahawa mingine.
2: Unaweza fanya ata delivery kwenye colleges ambazo zipo apo chuoni.

Dili nzuri hii kwa moro asa Kama wewe ni mgeni.
 
Unasumbuka sana...!

Anzisha dangulo hapo uwe unauza wanawake tu halafu uone kama hautoboi
 
Vizur ungeeleza nini? Unapenda na nini? Ulishawahi fanya ukafanikiwa, nini? Unaujuzi nacho, nini ukiiangalia hauboreki, nini? Upo tayari kujifunza

Alaf ndio uulize hilo swali
 
Back
Top Bottom