CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mkuu umeoa mwanamke au msichana?
Huyo atakuwa mvulana kaoa msichana....
Morning daddy!!!
Mkuu umeoa mwanamke au msichana?
ukifanya hivyo hata mbu watakucheka!!! mbona huwa mnapenda kutumia nguvu nyingi kwa mambo ambayo yanahitaji busara ndogo tu!!! unless otherwise utuambie kwamba ulioa chizi na sio mtu mwenye akili zake....halafu nahisi kama chumvi nyingi imeongezwa hapa......
ichukue itupe kwenye maji iogelee ... huyo mkeo anawalakini awezi zingatia mitandao kuliko familia
wote wawili hawana tofauti......na yeye anafanya nini humu saa hizi? kwanini asitumie mda huu kukagua watoto kama wamefanya home work na mambo mengine..... halafu anatuambia sisi tufanyaje sasa si amnyanganye tuuuu
kweli hizi simu zimekuwa kero....
unatoka na mtu ''out'' matokeo yake yupo busy kusoma threads za jf, anachat huko wazap, mara picha huko insta..aah
sasa tumetoka ili iweje..
kama yeye mwenyewe haoni ni wazi hata ukimwambia hatakuelewa zaidi atakuambia ni wivu unakusumbua na hujiamini! mwana chukua sim tupa we ndo kamanda on duty at your home! na akae hata mwezi bila simu we unaogopa ugomvi? kwanza ugomvi ndo unaongeza mapenzi kwenye ndoa! mi nilishatupa moja ya wife kwenye maji nikaona haitoshi nikaweka kwenye jiko la gas nikaichoma! akakaa kama miezi miwili hana simu kwakua nilimwambia akinunua nyingine naifanya vivo hivyo mpaka atakapojifunza utumiaji mzuri wa simu! kila akiomba nimnunulie au anunue nyingine namwambia familia haina hela ya kutosha akitaka atumie yangu pindi tupo wote! baadae nikamnunulia simu na wala si smartphone! mpaka sasa anjua ni wakati gani mtu unatakiwa uwe busy na masimu, na simu nyingi za kwao ni za kipuuzi ukisikiliza!ulimnunulia wewe maana usijempokonya ikawa ugomvi..cha msingi kaa uongee nae kuhusu tabia hiyo ambayo kwako unaona sio nzuri.bila shaka atakuelewa tu...
mwana chukua sim tupa we ndo kamanda on duty at your home! na akae hata mwezi bila simu we unaogopa ugomvi? kwanza ugomvi ndo unaongeza mapenzi kwenye ndoa! mi nilishatupa moja ya wife kwenye maji nikaona haitoshi nikaweka kwenye jiko la gas nikaichoma! akakaa kama miezi miwili hana simu kwakua nilimwambia akinunua nyingine naifanya vivo hivyo mpaka atakapojifunza utumiaji mzuri wa simu! kila akiomba nimnunulie au anunue nyingine namwambia familia haina hela ya kutosha akitaka atumie yangu pindi tupo wote! baadae nikamnunulia simu na wala si smartphone! mpaka sasa anjua ni wakati gani mtu unatakiwa uwe busy na masimu, na simu nyingi za kwao ni za kipuuzi ukisikiliza!Smartphone imeleta kizaa zaa kwenye familia yangu. Sasa mambo mengine ya kifamilia hayaendelea. Muda wote kwenye blogs, facebook, instagram, twitter na whatsup. Yaani House girl ndo amekuwa mama mwenye nyumba.
Kuanzia kuwaandaa watoto kwenda shule hadi kuhakikisha wamelala.
Offcourse mambo yangu kama kuandaa nguo, chakula changu n.k nilishazoea kufanya mwenyewe tangu utotoni.
ina maana wanawake ni watoto hawajui baya na zuri mpaka kila kitu waambiwe usifanye hivi fanya hivi! sasa lini mtakua na freedom kama hata kujiongoza hamuwezi katika level ndogo ya familia?Kabla ya kumyan"ganya na kuitupa baharin samaki nao wakajipge picha..ukae chini na mkeo na umwambie jinsi hyo tabia inavokukera atakuelewa..
at least...nasema at least umeongea pointUkimpokonya nawe hakikisha hutumii yako... Si mzungumze myamalize? Kuna anaemkip busy si bure au labda ana ulimbukeni flan
tatizo sio smartphone ni mke wake, Mkuu ongea na mkeo ajirekebishe.