Mkuu umeoa mwanamke au msichana?
Kama amezoea kutumia hizo simu hataweza kutumia kitochi tena, kama unataka kuongea na yeye si uchat nae?
haa haa haa nimekuona unamuuliza kama anapewa uhausi!! kwan uhausi watu huwa wanapewaga saa ngapi? sio muda kama huu kweli.....
sasa kama anataka uhausi jee? na mutu yupo bize na smatfoni
wote wawili hawana tofauti......na yeye anafanya nini humu saa hizi? kwanini asitumie mda huu kukagua watoto kama wamefanya home work na mambo mengine..... halafu anatuambia sisi tufanyaje sasa si amnyanganye tuuuu
thista duu
Si antak kuitupa? I phone 5 JALALA nipo kabisaaa! Ukizingatia ni HAZARDOUS WASTE HIO!
Myanganye UNIPE MIE mwaya weee! Sina mume so ITANIFAA SANA!!!!!!!!
Smartphone imeleta kizaa zaa kwenye familia yangu. Sasa mambo mengine ya kifamilia hayaendelea. Muda wote kwenye blogs, facebook, instagram, twitter na whatsup. Yaani House girl ndo amekuwa mama mwenye nyumba.
Kuanzia kuwaandaa watoto kwenda shule hadi kuhakikisha wamelala.
Offcourse mambo yangu kama kuandaa nguo, chakula changu n.k nilishazoea kufanya mwenyewe tangu utotoni.
Myanganye UNIPE MIE mwaya weee! Sina mume so ITANIFAA SANA!!!!!!!!
sasa kama anataka uhausi jee? na mutu yupo bize na smatfoni
mi napita tu
mmmkuu usiangaike wala kwenda mbali njoo utupe jalala sija jaa nipo empty
labda bwanaUmesahau ulishafika hadi chumbani...