Nina mpango wa kumnyang'anya smartphone mke wangu

Nina mpango wa kumnyang'anya smartphone mke wangu

atajirekebishaje wakati bado simu anayo...

kumnyang'anya simu sio suluhisho. huwezi kuwa na mpenzi wako bado unabofya bofya, huwezi kuwa busy na kazi ukapata hata muda wa kuchezea simu. kama vipi atimue mfanyakazi aone kama wife hatofanya hizo kazi.
 
niliwaza kama wewe ila naikahiisi nitaonekana mkatili okey
 
Wewe bado Sana kajipange na family yako hvyo ni vitu vidogo Sana kuvileta hapa tukupe ushauri
 
Mwache tu akiizoea utakuwa unaikuta tu juu ya meza hana muda nayo tena
Sasa anafurahi mambo mapya
 
labda bwana

avatar190377_2.gif

Punguza hii makitu...!!!
 
Mimi binafsi smart phone ndio chanzo cha kuachana na mchumba wangu.yuko bize FB muda wote,kumbe amepata kijamaa kikamdanganya akaenda kujilia chululuuu..tukaongea yakaisha. Hakukoma akakutana na bwana wake wa zamani wakadate..nilivyoshtuka..nikamwambia kwa mwendo huu hatutafika mbali,tukaachana!
 
Nilisha pata malalamiko kutoka kwa wanaume kwamba hata ule wakati wa kupeana baadhi ya wanawake wanakuwa wameshikilia Smart phone wanachat kisha wanamwambia mme ukimaliza ufunike halafu ulale mimi bado sijatoka kwenye watsup naendelea kuchat
 
Mkuki kwa ngerue kwa binadamu mchungu,we mbona upo jf,acha uonevu na kawivu kwa mbali!
 
Back
Top Bottom