Unataka mfano wa gari lakua mapando nyumbani kwako au gari inayotembea kabisa???
Hata bajaj haitoshi wacha gari
Hata bajaj haitoshi wacha gari
Kwani VW Beetle old model inauzwa shilingi ngapi, si laki mbili tu? Msimkatishe tamaa mwenzetu. Jombaa Frank, ungekuwa A Town ningekupeleka Unga Limited. Zipo za kumwaga tu.
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.
Kanunue pikipiki ya FEKON,,,
Anapata jamani acheni kumbeza watu wananunua ndege kwa laki tano sembuse gari.