Nina milioni moja na nusu natafuta gari

Nina milioni moja na nusu natafuta gari

Ongeza ifike milioni mbili laki tatu, ipo moja hivi home Tanga. Toyota Mark ii, 1992. KM 154,000
 
Mkuu ni bora huo mzigo umpelekee Mzee Wa Upako akupatie gari la uhakika.
 
Kwani VW Beetle old model inauzwa shilingi ngapi, si laki mbili tu? Msimkatishe tamaa mwenzetu. Jombaa, ungekuwa A Town ningekupeleka Unga Limited. Zipo za kumwaga tu.

Mi nipo Unga limited mbona sizioni?? nielekeze
 
tena bora huyo ambye ana sema ana milion moja na nusu kuliko wale wengine wanasema eti...nataka gari kununua alafuu ukimpelekea anaingia mitini
 
Ni gari gani\matumizi gani unayotaka wewe?
 
Zipo kaka ila zinahitaji marekebisho machache tu, hiyo moja inahitaji tairi tu na vitu vidogo vidogo. Niambie umeipenda ipi tufanye biashara.

Mkuu hii ya chini iko wapi Peugeot 403 safi sana.
 
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.

Ninayo landrover 109 ya mwaka 1971 na chenji nakurudishia tatizo ikiwa spidi kuanzia 100km/h inajifunga break tairi za mbele hasa kwenye miteremko mikali na miinuko isiyo na vipimo leta mpunga huo nikukabidhi chombo cha hatari
 
Ha ha ha ha kifo hicho
 
Yan wewe unataka kuchekesha umati unataka kuogelea maj ya shingo alaf pumbu ziclowe'?
 
hapa ni kujitafutia uzee kwa kweli, kwani unataka sababu ya kifo au vipi mkuu?
 
Kwa kweli nimegundua humu ndani ushabiki mwingi watu wana comment kulingana na wambele kasema nini, ila ukweli kwa hiyo pesa gari anapata kabisa tena inatembea vzri tu. Kuna gari aina ya Pegeout 404 405 mpka laki nane. Kuna corolla zpo zna tembea kbsa taxi mtu anapokea tna ni kama miezi mitatu imepita mzee mmoja maeneo ya mbagala alikuwa anasukuma mark II kwa hyo bei. Cha kumshauri jamaa hapo ni kuwa gari atapata ila poor condition lita mgharimu kwa kweli mpka liwe kweny standard. Sio mkumwambia hata toyo hupati japo ni kweli ila toyo. SanLg used inaend kwa hyo bei kbsa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

Gari anaweza kupatA kulingana na watu anaojuana nao.Kuna mzee mmoja pale UDSM Profesa alishawahi uza gari kwa bei ya kutupwa,hakuwa na haja nalo.ila lilikuwa na matatizo kidogo.Asife moyo atapatA
 
Mkuu ni bora huo mzigo umpelekee Mzee Wa Upako akupatie gari la uhakika.

Yaanu we ndo mjinga kabisa eti ampelekee mzee wa upako au we ndo dalali wake,yaani heri akanunue Screpa kuliko kupeleka kwa mzee wa upako
 
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.

Kanunue gari GARAGE kwa bei hiyo utapata mkuu
 
Back
Top Bottom