Nina milioni moja na nusu natafuta gari

Nina milioni moja na nusu natafuta gari

niliwahi kuuzia na mzungu Suzuki Samurai kwa bei ya laki sita ilikua na shida kidogo kwenye usukani ilikua ina play.. na ndani viti havikua poa ila engine ilikua bomba laki tatu nikaponyesha kila kitu.. nikaedesha .. baadae na mimi nikaiiuza kwa laki saba... atapata ila mkweche.. hata mkweche ni gari :A S wink:

Kie kie kie kie
 
yah, uzuri hajasema anataka gari inayotembea yeye anataka gari
 
Kuna jamaa anauza pikipiki aina ya FEKON shs laki nane na nusu, anapatikana kimara dar es salaam.
 
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.

kama siyo mchawi, basi mshirikina, si bure, huenda hy hela umeipata kwa njia haram au unaulimbukeni wa kuning'iniza funguo wa gari hata kama gari lenyewe ni skrepa ila unataka lipaki tu kwenye nyumba yako uonekane unagari.
 
Si bure,kuna mkono wa mtu, huenda si akili zake,akamatwe akapimwe maleria ya kichwani au akaaguliwe.
 
Kwa kweli nimegundua humu ndani ushabiki mwingi watu wana comment kulingana na wambele kasema nini, ila ukweli kwa hiyo pesa gari anapata kabisa tena inatembea vzri tu. Kuna gari aina ya Pegeout 404 405 mpka laki nane. Kuna corolla zpo zna tembea kbsa taxi mtu anapokea tna ni kama miezi mitatu imepita mzee mmoja maeneo ya mbagala alikuwa anasukuma mark II kwa hyo bei. Cha kumshauri jamaa hapo ni kuwa gari atapata ila poor condition lita mgharimu kwa kweli mpka liwe kweny standard. Sio mkumwambia hata toyo hupati japo ni kweli ila toyo. SanLg used inaend kwa hyo bei kbsa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.
Njoo Mbagala kuna kiwanja kinauzwa Milion moja na nusu ununue kiwanja wewe uache mambo za magari! Then ukishanunua ujibane ujenge! Ungelikuwa unataka magari ungenunua wakati ungali kijana!
NB: Hakuna baba mwenye gari, kuna baba mwenye nyumba
 
mbona vipo nyingi tu....mkuu ulikuwepo corola ila ishauzwa ipo ingine inauwzwaa mill3
 
Ni PM nikupatie motokaa.....unaweka mafuta unaondoka kwa 1.5m.
 
Kwa kweli nimegundua humu ndani ushabiki mwingi watu wana comment kulingana na wambele kasema nini, ila ukweli kwa hiyo pesa gari anapata kabisa tena inatembea vzri tu. Kuna gari aina ya Pegeout 404 405 mpka laki nane. Kuna corolla zpo zna tembea kbsa taxi mtu anapokea tna ni kama miezi mitatu imepita mzee mmoja maeneo ya mbagala alikuwa anasukuma mark II kwa hyo bei. Cha kumshauri jamaa hapo ni kuwa gari atapata ila poor condition lita mgharimu kwa kweli mpka liwe kweny standard. Sio mkumwambia hata toyo hupati japo ni kweli ila toyo. SanLg used inaend kwa hyo bei kbsa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

mkuu umeongea ukweli mwezi ulioisha nimeuza corola kwa bei hy hao wanaosema hivyo hawajawahi kumiliki gari
 
Kwa kweli nimegundua humu ndani ushabiki mwingi watu wana comment kulingana na wambele kasema nini, ila ukweli kwa hiyo pesa gari anapata kabisa tena inatembea vzri tu. Kuna gari aina ya Pegeout 404 405 mpka laki nane. Kuna corolla zpo zna tembea kbsa taxi mtu anapokea tna ni kama miezi mitatu imepita mzee mmoja maeneo ya mbagala alikuwa anasukuma mark II kwa hyo bei. Cha kumshauri jamaa hapo ni kuwa gari atapata ila poor condition lita mgharimu kwa kweli mpka liwe kweny standard. Sio mkumwambia hata toyo hupati japo ni kweli ila toyo. SanLg used inaend kwa hyo bei kbsa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

we ndio umempa jibu zuri kabisa.
 
gari la ukweli ukweli au la mtoto kuchezea?
 
Zipo kaka ila zinahitaji marekebisho machache tu, hiyo moja inahitaji tairi tu na vitu vidogo vidogo. Niambie umeipenda ipi tufanye biashara.
 
Attachments

  • for sale 1.5M.jpg
    for sale 1.5M.jpg
    53.6 KB · Views: 288
  • FOR SALE 1.5M...jpg
    FOR SALE 1.5M...jpg
    65.9 KB · Views: 285
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.

mkuu kuna mandolin ya mwaka 1967 ya mwingereza LHD kuishtua unatafuta kigongo wakati wa kuzima picha nimeshindwa kuweka ila inafanana kabisa na kale kagari katika movie ya goods must be crazy ya bushman ile landrover isiyo na break kila akifika kwenye gate anashuka anawahi gate then anadandia gari fasta hivyo mkuu kama uko interested ntakucheki.
NB.kwa mazingira ya dar labda ukaitumie chanika,bunju ndanindani kwa inaweza zima katikati ya barabara hivyo ukasumbuliwa na traffick vinginevyo haina tatizo unaweza enda nayo ofisini tu hata posta you must don't care just live your life with mandolin
 
Back
Top Bottom