Nina milioni moja na nusu natafuta gari

Nina milioni moja na nusu natafuta gari

najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.

Fika angalau 3 kaka
 
THIS IS THE FUNNIEST THREAD I HAVE READ IN JF.....So far.
yani watu humu hamjatulia kabisa. sijui in real life ndo mko hivyo!!!!
 
Natafuta pikipiki TVs offer 350,000 top na isiwe na kipengele yani mi kuwashwa na kusepa kama unayo piga sim 0653271318 njoo tufanye biashara chap maana nahitaji kweliii kaa mwenye nayo njoo ule 350k fasta wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom