delusional......Ndo mana mnafeli mitihani kwa kishindwa kuelewa swali na huu ndo ujinga wenu hv nani asiejua kuwa kuna show room?internet nk nk amehitaji mwenye hiyo Gari amuuzie kwa hiyo bajeti yake mnakurupuka kama mmekuta choo hakina Maji
Utapenda mabwana wangapi? tulia na huyo uliyo nayo boya wewe mwenyewe kabang yako haivutii kama unaipeleka traveltain wewe lojo mpelekeeni mzee yusufu ndo mteja wenu mimi kabang yako kwangu soko haina bweha.we pompo mleta mada fanya hivi! vaa vizuri pak wanja nenda traveltine usiku nna uhakika utanunuliwa gari bureeeeeee na hiyo hela yako ya madafu kanunue mapowder ujipendezeshe bwabwaa wee
Inategemea mapenzi ya mtukwenye gari!
Wewe farah unaona ml12 nini?? piga kimya kama huna gari ya kuuza acha wanaume wenye pesa zao waongee!!
hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya
Refer to this sentence...........kama huna ela uka kimya tu usikurupuke bwanah ww,mil12 prado ya wapi hyo ww
Wewe unajua kweli ustaarabu???kwani hii thread nimekuandikia wewe??kwanini ujibu kama umelengwa wewe??......Hivi ukiwa na simu tuache magari umeinunua laki nne(400,000/)ukiwa unaiuza mkononi utaiuza bei gani??...Hiyo namba moja!!Hiyo hiyo simu unayo umepatwa tatizo mkeo anatakiwa kufanyiwa Operation inahitajika laki na ishirini(120,000/-)utaiuza au hautauza kwakuwa wewe uliinunua laki nne??400,000/) hivyo laki na ishirini uuzi??kwakuwa siyo bei yake utabaki kuiuza 400,000/=paka umpate mteja ndo ukapate pesa umshughulikie mkeo etc??hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya
Umeona??wapo wengi wanakubali kuumia eti kisa jina??sport south Us$15,000-20,000/Tunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!
Umeona??wapo wengi wanakubali kuumia eti kisa jina??sport south Us$15,000-20,000/
Ila watu wapo wanaumia hapa mjini!
Mkuu asante kwakunitia tumaini nakushukuru na mimi nimeitunza hiyo pesa kuna moja nataka nikaichek zanzibar kasema ipo mtu.Hawa wachimba chumvi ninawaweza hawaniwezi mkuu.Mkuu
Pole kwa madongo, ila waosha vinywa ndivyo walivyo. Wengi wao wanakuponda halafu ukute wanatumia PC za ofisi, hawana magari. Gari si lazima ununue showroom. Kuna watu wana shida za ada (hasa hii Januari 2014), matibabu, mashamba, mikopo, nyumba n.k., hawana pesa za kulipia huduma hizo. Wanauza magari kila leo ili kulipa madeni. Nina uhakika utapata prado kwa bei karibu na hio ama kwa bei hio. Just keep that money standby, utapata hapa hapa JF.
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
Utapenda mabwana wangapi? tulia na huyo uliyo nayo boya wewe mwenyewe kabang yako haivutii kama unaipeleka traveltain wewe lojo mpelekeeni mzee yusufu ndo mteja wenu mimi kabang yako kwangu soko haina bweha.
hapo nimekuelewa mkuuRefer to this sentence...........
Wewe unajua kweli ustaarabu???kwani hii thread nimekuandikia wewe??kwanini ujibu kama umelengwa wewe??......Hivi ukiwa na simu tuache magari umeinunua laki nne(400,000/)ukiwa unaiuza mkononi utaiuza bei gani??...Hiyo namba moja!!Hiyo hiyo simu unayo umepatwa tatizo mkeo anatakiwa kufanyiwa Operation inahitajika laki na ishirini(120,000/-)utaiuza au hautauza kwakuwa wewe uliinunua laki nne??400,000/) hivyo laki na ishirini uuzi??kwakuwa siyo bei yake utabaki kuiuza 400,000/=paka umpate mteja ndo ukapate pesa umshughulikie mkeo etc??
Umeona??wapo wengi wanakubali kuumia eti kisa jina??sport south Us$15,000-20,000/
Ila watu wapo wanaumia hapa mjini!
kwa maelezo ya mtoa mada nafikiri anataka ambayo ishatumiwa hapa tanzania,sio ya showroom au ambayo ndio kwanza imported from japan......zinapatikana.
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138
n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
kumbe hizi gar zina bei eh? Sijawahi kuzipenda kwa kweli
hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya
Aisee kumbe 12M nasukuma Prado. Zimeshuka hivi au ni bortion? hizi si bei za kina GX 110, Voxy, na Rav 4 model ya kati?