Nina milioni 12 nataka Prado

Nina milioni 12 nataka Prado

hiyo Budget yako tu ni pesa ya ushuru wanaocharge TRA kwa Prado ya Mwaka 1996. labda kama unataka prado isiyokuwa na Engine, Matairi na viti!! otherwise ni scraper unayohitaji..

BF177481_1.jpg

Uwiiiiiiiiiiii sikilepaaaaaa
 
Naona watu wanakusakama KakaKiiza !! Usishangae, hapahapa mjini bado kuna watu wanaingia showroom kununua verossa kwa 16M!! Mji mkubwa huu kaka, kila mtu hakosi rizki ya kula, ndiyo maana unaposema prado ya 12M wanakushangaa, last month kuna jamaa alileta suzuki carry kadhaa alikuwa anauza 2.8M zimeshalipiwa ushuru kila kitu wewe unabandika bima na kutambaa, newly imported...wajanja tukazibeba faster na kwenda kuuza 6M bila mawazo! Hapa mjini, wengine wananunua IST mpaka 12M, ukimwambia umuuzie 8M haridhiki anatamani kwenda kushikwashikwa! Tulia na pesa yako kaka, najua hauwezi kukosa mmilioni mbili tatu za kuongezea ikitokea ya bei juu kidogo ya hiyo!
 
Last edited by a moderator:

Kwa lugha nyepesi za wizi atapata kwa bei hiyo...lakini awe makini
 
Last edited by a moderator:
Ndo mana mnafeli mitihani kwa kishindwa kuelewa swali na huu ndo ujinga wenu hv nani asiejua kuwa kuna show room?internet nk nk amehitaji mwenye hiyo Gari amuuzie kwa hiyo bajeti yake mnakurupuka kama mmekuta choo hakina Maji
 
Humu ni sehemu ya Great thinker lakini ajabu humu kuna mambwiga usiowatarajia ni wengi ajabu!!Mapoyoyo wengi wanaenda macho juu kama mamba!!achana nao!

Kwa lugha nyepesi za wizi atapata kwa bei hiyo...lakini awe makini
Mimi wakununua vya wizi umeona wewe yawezekana unasikia ml12 kwenye magazeti kwa taarifa ml12 ni pesa ndefu ichole chini uone ukubwa wake!

Nitaku PM mkuu tuone tunafanyaje biashara nikuachie, ina matengenezo kidogo sana ila kwa sababu unayo hiyo pesa mkononi bora, kuliko kuuza kwa mil 20 unapewa mil 7 zingine mnapeana mahakamani au anakurudishia gari
Poa tunaweza kufanya biashara kama tunakubaliana na mzigo uko poa!

Unatoa pesa nzuri!!!
Mkuu Sijakusoma nimeweka bei hapo!

Jaribu kutafuta vitz, hela yako nyembamba sana hiyo
Mkuu hii pesa ndefu nikisema ninunue vitz napata3 moja nakuonga wewe!

Mpigie huyu 0654151632
Poa ngoja nimchek anayo anauza au(dalali?)

hy 17m 2lt sio 1kz ww kanunue noah ndio inakufaa
Noah mimi nauza vyombo vya nyumbani au nauza chandarua kariakoo??wewe vipi umekarili??hapa kwa pesa hii napata noah 2 ila sizitaki!!

fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138

n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
Mkuu usijiridhishe kwa maandishi kumbuka watu waliingiza track 90 wakalipa ushuru ml 90 hivyo hiyo katika maandishi siyo issue!!

yawezekana anatania tu
Nipo seriously mkuu!!

Prado 12m?? are you kidding?? kanunu suzuki wagon R
Mkuu kwa pesahiyo napata 3 moja nakuhonga wewe!ila sitaki!

au labda kuna generators aina ya Prado
Generator ni pesa ndefu na wala siyo ml12 labda za kichna unaongelea usichokijua!Piga kimya!

we mleta thread kweli pompo labda utoe ile celica yako na hiyo 12 ndio upewe hiyo prado.
Kweli humu unaweza kujua watu matendo yao kwa thread yani unatamka kabisa asset ya mwanaume???kweli wewe unamahaba mabaya na wenzako mahaba hayo punguza dhambi niliyo nayo inanitosha kuongezea yakwako sitaki!!poyoyo!japo unahamu ya kulegezwa!

hiyo Budget yako tu ni pesa ya ushuru wanaocharge TRA kwa Prado ya Mwaka 1996. labda kama unataka prado isiyokuwa na Engine, Matairi na viti!! otherwise ni scraper unayohitaji..
8enr.jpg

BF177481_1.jpg
Mkuu hii ni method ya ulipaji kodi ila unaweza kulipa mbadala!!usipate tabu na maandishi!mkuu!!

ina maana hujaona pesa aliyonayo au?
Yani mimi ninashindwakuwaelewa hawa Watanzania mimi nimesema mojakwamoja bila kuzungusha lakini watu wanaleta upuuzi kama vile hawana macho!!

Ndo mana mnafeli mitihani kwa kishindwa kuelewa swali na huu ndo ujinga wenu hv nani asiejua kuwa kuna show room?internet nk nk amehitaji mwenye hiyo Gari amuuzie kwa hiyo bajeti yake mnakurupuka kama mmekuta choo hakina Maji
Humu mkuu ukitaka kujua mambwiga ni wengi andika neno liwe wazi simple sema mimi ni mwanaume nahitaji kupata mke wakuoa utashanga mtu anauliza hivi wewe gender yako ni ipi!!Wapuuzi ni wengi humu nikuwasamehe!
NAMALIZIA KWAKUWAMBIA MIMI NINA MILIONI 12,TU!!WEWE KAMA UNASHIDA NA PESA UNA PRADO NJOO TUFANYE BIASHARA MIMI HIYO NDIYO PESA NILIYOTENGA KWA KUMALIZIA HUU MWAKA!CHAKO NDICHO KINAKUOKOA USISIKILIZE MANENO YA WATU WALIOSHIBA POMBE YA MAHINDI HUMU!WATAKUPOTEZEA MALENGO YAKO!!!!
 
kwa maelezo ya mtoa mada nafikiri anataka ambayo ishatumiwa hapa tanzania,sio ya showroom au ambayo ndio kwanza imported from japan......zinapatikana.
ameandika anapata reg; C kwa bei hy mkuu, sasa( C ni imported)
 
ameandika anapata reg; C kwa bei hy mkuu, sasa( C ni imported)

hivi mkitulia na kusoma post ya mtu mnapata tatizo gani???main post kasema ana 12M kama unauza gari hio kwa bei hio ongea nae mfanye biashara,kama huna kaa kimya.....post ingine aliyotaja reg c ni kwamba kuna mtu kasema anayo ya 22m yeye akamjibu huyo mtu 22M akatafute wa migodini yeye alipo anapata reg c kwa 17M.....unatishika na reg c hujui zimetoka lini?
huyu jamaa angeleta hii post miezi 2 nyuma ningemuunganisha kuna mtu kauza PRADO 2 reg B kwa milioni 13 kila moja,sio kila mtu mjini anapigwa kama nyinyi.....
 
Mkuu umenifurahisha sana kwa umakini wako mpaka nikakumbuka Tangazo moja la TRA jamaa anasema natamani TRA waje niwafanyie tafrija walebata mpaka mura wetu!!!Na mimi ungekuwa najua unapatikana wapi leo lazima tungeenda kutafuta urithi wetu karabashi!!
 
Kuna prado kali namba cfu iko sinza rangi ya silver..milioni 6
 
Can I be ur boifurend, oops no ur gelofurendi?
Highly affinitive to Prados.
 
Acheni kukatisha watu tamaa. Mtoa mada ametaja aina ya gari na bajeti yake, kama unayo au kuna sehemu unayojua inapatikana mwambieni. Kama huna data sio lazima uchangie uzi
 
Kuna prado kali namba cfu iko sinza rangi ya silver..milioni 6
Wewe tu hata ingekuwa musoma sema wewe ilete utapewa pesa ya mafuta maana hapo nitabaki angalau na ml 5 lol!

Can I be ur boifurend, oops no ur gelofurendi?
Highly affinitive to Prados.
Kongosho Kongosho naona sasa unaanza kunichokoza mpwa sikuhizi umekuwa mtani???
 
Last edited by a moderator:
kama huna ela uka kimya tu usikurupuke bwanah ww,mil12 prado ya wapi hyo ww
 
Nahitaji RAV 4 model ya kati (1996-2000) nina 9m. aliye serious ani pm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom