Nina milioni 12 nataka Prado

Nina milioni 12 nataka Prado

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
 
Mkuu ipo inatumia petrol imetembembea kilometer 150000 ipo kwenye hali nzuri sana. Bei ni 16m.
 
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM

Unatoa pesa nzuri!!!
 
Aisee kumbe 12M nasukuma Prado. Zimeshuka hivi au ni bortion? hizi si bei za kina GX 110, Voxy, na Rav 4 model ya kati?
 
Jaribu kutafuta vitz, hela yako nyembamba sana hiyo
 
Mkuu elewa tangazo kabla haujakurupuka kujibu!Ml 22 hiyo kawatafute wa migodini nilipo 17 napata reg c wewe unaongelea bty???:faint2:

hy 17m 2lt sio 1kz ww kanunue noah ndio inakufaa
 
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138

n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
 
yawezekana anatania tu
 
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
Prado 12m?? are you kidding?? kanunu suzuki wagon R
 
we mleta thread kweli pompo labda utoe ile celica yako na hiyo 12 ndio upewe hiyo prado.
 
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138

n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha

kwa maelezo ya mtoa mada nafikiri anataka ambayo ishatumiwa hapa tanzania,sio ya showroom au ambayo ndio kwanza imported from japan......zinapatikana.
 
Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
hiyo Budget yako tu ni pesa ya ushuru wanaocharge TRA kwa Prado ya Mwaka 1996. labda kama unataka prado isiyokuwa na Engine, Matairi na viti!! otherwise ni scraper unayohitaji..
8enr.jpg

BF177481_1.jpg
 
Back
Top Bottom