Nina milioni 12 nataka Prado

we pompo mleta mada fanya hivi! vaa vizuri pak wanja nenda traveltine usiku nna uhakika utanunuliwa gari bureeeeeee na hiyo hela yako ya madafu kanunue mapowder ujipendezeshe bwabwaa wee
 
Ndo mana mnafeli mitihani kwa kishindwa kuelewa swali na huu ndo ujinga wenu hv nani asiejua kuwa kuna show room?internet nk nk amehitaji mwenye hiyo Gari amuuzie kwa hiyo bajeti yake mnakurupuka kama mmekuta choo hakina Maji
delusional......
 
nilishawahi kutafuta noah kwa 5m humu jf wengi walikebehi,kejeli,kashfu n.k........lakini mwishowe nimelipata kwa 4.8 kwa mama mmoja aliyekuwa na shida ya kwenda matibabu nje ya nchi....kwa hiyo mtu kutangaza prado kwa 12m ni haki yake na hayo ndio matumizi ya fursa hizi.....
 
we pompo mleta mada fanya hivi! vaa vizuri pak wanja nenda traveltine usiku nna uhakika utanunuliwa gari bureeeeeee na hiyo hela yako ya madafu kanunue mapowder ujipendezeshe bwabwaa wee
Utapenda mabwana wangapi? tulia na huyo uliyo nayo boya wewe mwenyewe kabang yako haivutii kama unaipeleka traveltain wewe lojo mpelekeeni mzee yusufu ndo mteja wenu mimi kabang yako kwangu soko haina bweha.
 
Inategemea mapenzi ya mtukwenye gari!

Wewe farah unaona ml12 nini?? piga kimya kama huna gari ya kuuza acha wanaume wenye pesa zao waongee!!

hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya
 
Tunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!
 
kama huna ela uka kimya tu usikurupuke bwanah ww,mil12 prado ya wapi hyo ww
Refer to this sentence...........

hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya
Wewe unajua kweli ustaarabu???kwani hii thread nimekuandikia wewe??kwanini ujibu kama umelengwa wewe??......Hivi ukiwa na simu tuache magari umeinunua laki nne(400,000/)ukiwa unaiuza mkononi utaiuza bei gani??...Hiyo namba moja!!Hiyo hiyo simu unayo umepatwa tatizo mkeo anatakiwa kufanyiwa Operation inahitajika laki na ishirini(120,000/-)utaiuza au hautauza kwakuwa wewe uliinunua laki nne??400,000/) hivyo laki na ishirini uuzi??kwakuwa siyo bei yake utabaki kuiuza 400,000/=paka umpate mteja ndo ukapate pesa umshughulikie mkeo etc??

Tunaongelea magari used hapa, Range Rover Sport ya kuanzia 2005 haifiki hata 60M kuileta na kuilipia kila kitu, lakini watu wanaumia mpaka 90M show room, ili tu aseme mtaani "NIMENUNUA MILLIONI TISINI!...mafala wako wengi, na watoto wa mjini wanatumia fursa hizo!
Umeona??wapo wengi wanakubali kuumia eti kisa jina??sport south Us$15,000-20,000/
Ila watu wapo wanaumia hapa mjini!
 
Mkuu
Pole kwa madongo, ila waosha vinywa ndivyo walivyo. Wengi wao wanakuponda halafu ukute wanatumia PC za ofisi, hawana magari. Gari si lazima ununue showroom. Kuna watu wana shida za ada (hasa hii Januari 2014), matibabu, mashamba, mikopo, nyumba n.k., hawana pesa za kulipia huduma hizo. Wanauza magari kila leo ili kulipa madeni. Nina uhakika utapata prado kwa bei karibu na hio ama kwa bei hio. Just keep that money standby, utapata hapa hapa JF.
 
Hehehe range ya kupata mil 40 mtu analipa 90! Sasa mtu wapembeni unalalamika au kumcheka eti kaumizwa. Hehehe! Kaumizweje wakati ni hela yake na maamuzi yake? Nahisi mara nyingi anayeumia ni wa pembeni asiye na hela.
 
Mkuu
Pole kwa madongo, ila waosha vinywa ndivyo walivyo. Wengi wao wanakuponda halafu ukute wanatumia PC za ofisi, hawana magari. Gari si lazima ununue showroom. Kuna watu wana shida za ada (hasa hii Januari 2014), matibabu, mashamba, mikopo, nyumba n.k., hawana pesa za kulipia huduma hizo. Wanauza magari kila leo ili kulipa madeni. Nina uhakika utapata prado kwa bei karibu na hio ama kwa bei hio. Just keep that money standby, utapata hapa hapa JF.
Mkuu asante kwakunitia tumaini nakushukuru na mimi nimeitunza hiyo pesa kuna moja nataka nikaichek zanzibar kasema ipo mtu.Hawa wachimba chumvi ninawaweza hawaniwezi mkuu.
 
bestito uko serious kweli unahitaji nikuunganishe na kaka yangu yeye ni muingizaji na mtoaji magari toka japan kama uko flesh nitwangie kwenye no yangu

Jamani unaona una Prado unatafuta mnunuaji mimi ninahitaji kwa bei hiyo hapo juu Mil 12,
Iwe ya mwaka kuanzia 1996-98
Engine iwe 1KZ
Iwe inatumia mafuta ya Diesel mikangafu sitaki!
Unayo PM
 
Utapenda mabwana wangapi? tulia na huyo uliyo nayo boya wewe mwenyewe kabang yako haivutii kama unaipeleka traveltain wewe lojo mpelekeeni mzee yusufu ndo mteja wenu mimi kabang yako kwangu soko haina bweha.

dogo mbona umepanik teh teh teh
 
Refer to this sentence...........

Wewe unajua kweli ustaarabu???kwani hii thread nimekuandikia wewe??kwanini ujibu kama umelengwa wewe??......Hivi ukiwa na simu tuache magari umeinunua laki nne(400,000/)ukiwa unaiuza mkononi utaiuza bei gani??...Hiyo namba moja!!Hiyo hiyo simu unayo umepatwa tatizo mkeo anatakiwa kufanyiwa Operation inahitajika laki na ishirini(120,000/-)utaiuza au hautauza kwakuwa wewe uliinunua laki nne??400,000/) hivyo laki na ishirini uuzi??kwakuwa siyo bei yake utabaki kuiuza 400,000/=paka umpate mteja ndo ukapate pesa umshughulikie mkeo etc??

Umeona??wapo wengi wanakubali kuumia eti kisa jina??sport south Us$15,000-20,000/
Ila watu wapo wanaumia hapa mjini!
hapo nimekuelewa mkuu
 
heri yako wewe uliyemwambia ukweli ni bora anunue harrier kidogo itaendana na bei yake aliyotaka
fob(japan) usd 4,266
value tra usd 6000
ushru: 9,278,138

n;b weka freight
_,,_ insurance
_,,_ shipping line chargers
_,,_ port chargers
_,,_ reg; fee
__,,_ agence fee
nyingine malizia mwenyewe uone hy 12m kama inatosha
 
hatubishani hapa wala hauwawi mtu hapa ila tunapeana facts kaka ,nisawa na mtu akwambie nauza range mil 60 ww hutoshangaa hapo,maana dukani mil200 afu mtu anauza mil60,usitukane maana si uungwana huo,tunapeana hoja tu kaka,huwezi kuchangia bila matusi kaa kimya

Prado yaweza patikana kwa bei hiyo. Unakuta mwingine ana shida. Kuna mtu juzi kanunua GX 100 kwa 3.5m. Yote yawezekana. Jambo la kumshauri ni aposti ktk mitandao mingine na kumtakia kila la kheri na sio kukashifiana. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom