Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,292
- 6,782
Ni sawa kabisaKwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Kula pizza.Mtupe mbadala wa kula ugali sio mnabwabwaja tu
huyu atuachie my wetu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 ugali mwenzie mboga bwana.
Utapigwa miti kijanaKwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Hivi ni kweli ugali sio msosi??Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Unakula nini sasa ?Hii june yote nimeula mara mbili tu na penyewe ni ile basiii yani baaasii, sipendi ugali aseee siupendi mie
Ugali umewakuza, sasa wanaudharau😁😁Dona flan mboga nzuri upate na mtindi🔥🔥 hawa watoto waliokulia Kota hizi mbanga hawazielewi
Mahindi na mhogo, wa mtama sijawahi kulaUgali sources; mahindi; mtama; muhogo or combination of those.
Kwakweli🤣🤣huyu atuachie my wetu😂😂
Unakula nini mkuu badala ya ugali,?Kweli mkuu na nimebadilika I'm looking young than my real age
Ungeweka na picha yako kabla na baada.Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Wali, tambi, chips, chapati, viazi vitamu vya kuchemsha, kaanga, mihogo kaanga, mihogo ya nazi nyama, ndizi, makande ni vingiiiiUnakula nini sasa ?
SioHivi ni kweli ugali sio msosi??
Kwa vile wewe ni Ke no problem lkn kwa Me utakimbiwa na wanawake wengi sana.Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Kwani kuna Mhaya anakula ugali? Mimi ukiniambia nile ugali au nisinywe Konyagi mwaka mzima, nitachagua kutokunywa Konyagi mwaka mzima! Nsizi ndio chakula!Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Okay , nimecheka ila me hapo bila ugali hapana haiwezekaniWali, tambi, chips, chapati, viazi vitamu vya kuchemsha, kaanga, mihogo kaanga, mihogo ya nazi nyama, ndizi, makande ni vingiiii
Mbona matango yanaliwa na kuna mboga hazikustahili kuwa mboga kama yale makabichiUtamu gani mkuu, chakula hakiliki bila mboga