Nina miaka mitano sijala UGALI

Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
Daah hongera mkuu ila Mimi kukaa bila kula ugali sijui kama ntakuja kuweza.

Kaugali fulani kalainiiiiiii na rosti ya mdudu yenye tupilipili kwa mbaali ni kitu siwezi kukaa mwezi bila kulaπŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
Wakoloni walileta mbegu za mahindi kwa ajili ya mifugo, wamatumbi wakafanya ndalilo na hadi leo eti wanaita ugali kuwa ni chakula chao cha asili
 
Kazi ninayofanya haitaji kutumia wanga Sana Mkuu .
 
Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Kwani mkuu ugali una issue basi?

Tunaukandamiza kwa mazoea na sifa eti: ...'bila ugali me sishibi'..., yaani ukishajengeka kisaikolojia namna hiyo unakuwa ka'ulishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha!

Mi niliishi miaka mingi bila kuonja nguna ad nikazoea!

Kwani wazungu wanaishije na kutoboa bila hayo makitu?

Ugali hauna umuhimu wowote katika mpangilio wa chakula.
 
Kwanza chakula gani bila mboga hakiliki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…