Nina miaka mitano sijala UGALI

Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Vipi ugali wa uwele au Mtama?
Maana Mwl Nyerere niliwahi kusikia alikuwa akipenda ugali wa uwele na unaona IQ yake
 
Ukipinga ugali, pinga na vyakula vitokanavyo na Ngano, chips na vyakula vya viwandani,
Then uwe ni Veggan tu.
Wewe unapiga vita ugali lkn chips, pizza, Burgers, chapati, maandazi wala.
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Tafiti zinasema jamii walaji ugali huwa ni duni hata zikimilikishwa mali.
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Uko sahihi kutokana na kazi unayofanya, ila sisi wafanyakazi wa kutumia nguvu kama shughuli za ujenzi tupo site masaa mengi ugali ni kitu muhimu sana, na tukisikia watu mna udiscus ugali mnatuboa sana
 
Wao Wana junk food, unaposema wasukuma wanakula ugali na kwenda shbn

Unakula Wanga then , chips kuku fake carbonate drink then upo kwa Ac
 
Jaribu siku ushike jembe ukalime shambani au ukabebe zege halafu mchana ule chipsi au ndizi uone tumbo litakavyokudai chakula
 
Inashangaza kuona mtu anapinga ugali bila kupinga wali.
Kwaupande wangu ugali nakula kila siku mchana pamoja na nyama au samaki au dagaa usiku ndo nabadilisha tena usiku napendelea kula tu matunda.

NB; Kiasi cha wanga unachokula kinatakiwa kiendane na energy unayoitumia katika shughuli zako za kila siku.
 
Oooh sababu ya sisi kudumaa hadi akili ni kwa sababu ya laaana , blah blah blah

NI UGALI, HAKUNA KINGINE.
Unakuta mtu anashindilia ugali usiku karibia mara 250 kwa mwaka, kinachofatia linapata constipation and hatari nyingine kiafya.
🤮🤮🤮

Kataa ugali, ugali ni mateso.
 
View attachment 3389068

Oooh sababu ya sisi kudumaa hadi akili ni kwa sababu ya laaana , blah blah blah

NI UGALI, HAKUNA KINGINE.
Sijui kama shule ulienda ama lah na kama ulienda basi hii nchi ina safari ndefu ya kwenda.

Ugali ni wanga, wanga inadumazaje akili? Maana wali, ugali, mkate, tambi, chips na wanga nyingine kazi yake ni kuupa mwili nguvu.

Sasa usivyo na akili unasema ugali ndio tatizo, wanga nyingine je?
 
Huyu jamaa hajui hata anachopambana nacho, vita dhidi ya ugali haina maana yoyote ikiwa hajui kuwa mjumuisho lishe wa ugali ni wanga kama ilivyo ubwabwa, mkate, chapati, ndizi, viazi n. k

Ni limbukeni fulani ambaye hana ufahamu thabiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…