Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,635
Reaction score
81,535
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.


"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
 
Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.

Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.

Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.

Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
 
Back
Top Bottom