Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

Tatizo nyie wanasheria wengi wenu mnakuaga watu wa ligi sana,ubishi mwingi mademu hawapendi mambo ya namna hiyo wanapenda kulelewa
 
Mwanasheria, ni wakili wa kujitegemea?
Una Tembo Card Mastercard?
Hali ya maumbile yako yapoje? Usije ukawa unaina aibu kuwavulia nguo hao unao kutana nao. Wapo wanaume huwa hata kuoga mtoni na wanaume wenzao hawavui!
 
Duh kaka pole sana. Mi hata cna cha kukushaur ila nlitaka kukupa pole tu coz naona watu wala hawana mpango kukupa ushauri zaid ya kuendelea kukuumiza tu. May b kwa vile umetaja uana sheria.
 
Back
Top Bottom