Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 721
- 207
Aisee
FursaMke mi hapa, hata mi cjawah guswa.
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.
Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
Mke mi hapa, hata mi cjawah guswa.
Haya wakili usiiache neema hiyo ishasogea,ukimkosa huyu atakuwa wa tatu kukukimbiaMke mi hapa, hata mi cjawah guswa.
