Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

Mkuu weka mambo yako poa alafu oa kabisa tena itakuwa vizuri mtu wako kukukuta ukiwa fresh na atakuwa anakuheshimu tena sana.
 
Hakuna ulazima wa ku do maishani...wala huna mapungufu songa mbele kusukuma maendeleo ya taifa letu..si lazima ku do

ukiamua ndio uoe.
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

mshukuru Muumba kwa neema kebekebe ambazo kakujalia................................................ngono ni hatari kwa uhai wako........................kama ungelionja tunda pengie sasa hivi ungelkuwa kaburini..........................thank the Almighty God for the abundance of everything......you do not need sex to prove anything..................................just keep God first place he is going to take you places you never imagined..........
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...

aaaaaaaaiiiiiiiiiiii umeahirisha darasa???? wooooote wanaongopa humu njooo uchukue darasa... teh teh teh!!!
 
Umemsikia Lizzy kasema eti zinaexpire...sasa zetu si zitakuwa used sana mpaka hazifai eeehhh....hizi za jamaa ziko brand new...duh zitakuwa nzito ka asali....
hahahahhhahah kwa hiyo tumpe pole atakaekuwa na bahati mbaya siku hiyo....akipimwa atakutwa kaongezeka kiaina kumbe....
 
Nakwambia Lizzy angekuwa Dr mbona watu wangekuwa wanakufa kwa ushauri tu...bora ni mkulima maana mimea haisikii....Huyo atayepatwa nae siku ya siku akutane na dr kama lizzy...samahani mama hili tumbo virutubisho vilikuwa expired,sasa result yake sijui nini....
 
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini..............naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
Masterbation hujawai tumia?
 
Back
Top Bottom