BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
Unasimama lakini"jikague
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.
Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
helooo learned brother duh iyo bikra ya kiume elezea kwa kirefuu maana sie kila siku tunatuhumia kuwa hatuna bikra sasa iweje wew mwanaume uwe nayo?? Kumbe kuna bikra za kiume???
Cc mh asprin
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati najiandaa kuwa immersed in love akanikimbia bila sababu,sasa nina miaka 30 bado sijawahi ku du hata mara moja,kama fedha za kujikimu nianazo,proffessionaly ni wakili wa kujitegemea,na ka u handsome kapo,sasa sijui tatizo langu ni nini.
Naomba ushauri ili nisije pata tena nikakimbiwa...
Mkuu labda unakamguu ka mtoto!!lazima wasepe!
Bikra ya kiume ni pale mtu anaposhindwa kuachia ushuzi wa kimyakimya. ushuzi wake lazima utoe mlio wa nyau aliyebanwa mkia na mlango.

Tafuta mke uoe mkuu,huna tatizo lolote!
Mkuu labda unakamguu ka mtoto!!lazima wasepe!
Hao wanawake walikukimbia sababu ya msimamo wako, kama unakaa nae miaka mitatu bila ku do wala kujitambulisha kwao unategemea nini? Sasa umri wa kuoa umeshafika, tafuta mchumba muoane mkajifunzie humo ndoani, wala sio ugonjwa
Sheriff,kwa kauli,utanashati,usafi na attitude ki ukweli najitahidi sana ku observe kwa mtu yeyote hata stranger,hawa wote lakini walirudi kwa vipindi tofauti na kuomba msamaha,lakini si unajua maumivu ya kuletewa makombo??????????na mimi nkasusa.