Bangu-silo
Senior Member
- Jan 9, 2013
- 191
- 73
Umejibu vyema Mkuu
Sie kugegeda tu
Sie kugegeda tu
Biblia inasema kuwa ....tamaa zako zitakuwa juu ya mwanaume na atakutawala......Soma Mwanzo 3:16
Hii ni laana iliyotolewa kwa mwanamke baada ya kuasi.
Binafsi usimsaidie maana ukijaribu tu siku ingine atakuja na kukuambia mbona siku ile ulifanya
kahtaan kasome mwanzo 3 utaelewa vizuri
Kama unaona dada yako anaonewa ruksa kukaimu
Kabla ya kuoana nivizuri mkafanya mkataba unaoeleza kila jambo kwa uwazi kabisa,kazi gani ni za mwanamke na kazi gani nizamwanaume, mambo gani mwanamke anaruhusiwa kufanya na mambo gani haruhusiwi kufanya, mambo gani mwanaume anaruhusiwa kufanya na mambo gani haruhusiwi kufanya.kama mlikubaliana kuwa mtasaidiana kila kazi sawamsaidie kazi zote lakini kama hamkukubaliana basi mwambie kuwa hamkukubaliana kusaidiana kazi zote kusaidiana.mambo ya ndoa nimakubaliano ya watu wawili watu wengine ni mwiko kuingilia kwa sababu hamjui makubaliano yao yanasema nini.
wewe acha ujinga msaidie mwenzio! nikianza kukwambia yakwangu utashangaa...
unaonyesha una roho mbaya sana, hapo kwenye red hayo si maneno ya kuongea, mnatakiwa mkubaliane na msaidiane, ule ni upendo tu, na si vinginevyo, na huo upendo ndiyo unaleta amani kiasi unaweza kufikiria maendeleo na kuweza kufanya kazi vizuri na kuwa na afya njema wewe na familia yako. lakini ukianza kufanya hayo amani ndani ya nyumba inatoweka kiasi inaharibu kila kitu. jiulize unaweza kuwekeza kwenye vita? kana ndiyo hongera. Naomba futa kauli yako hiyo hapo juu tafadhali.Tatizo haya ma mke yetu ukiyasaidia yanaenda kutangaza kuwa Umeshikwa,pumbafuuuu mkomalie mpaka anyeee kulaleki.
Kusaidiana na kusikiliza hisia za mwenza wako ni muhimu sana_lakn mpaka jamaa kaja hapa maake huyu mke wake atakuwa kazidisha chumvi,..halafu mbaya zaidi anajilinganisha na majirani zake(kumbuka jamaa kasema hata haumwi wala nini)...ubaya upo kwenye kusema mbona fulan na fulan wanafua,wanadeki,wanaosha vyombo and the like.
Hili la kukataa kufanya hivyo wala sio mfumo dume,..wanataka kuleta mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino kwenye uhalisia(mahusiano) ya kiafrika....i beg to differ mkuu.
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
Khaaaaa!!! Kabanga embu tuambie moja tu , tujue ni nini hicho, tuweze kujifunza toka kwako.
mimi na hudumia wanangu mwenyewe, wote ni wadogo, mkubwa ana miaka 6 mdogo mwaka na nusu, kuanzia asubuhi mdogo anabaki na bibi, wengine natoka nao kwenda shule/kazini, mama yao yuko mkoani... suala hili la kihudumia familia ni kujipanga tu...
Duuuuuuuh! Mungu akupe kheri katika maisha yako, yaani wewe ni baba bora ambaye unajua majukumu yako na wajibu wako. Congratulation!!! Usijali utaona matunda yake baadaye wewe palilia na mwagilizia ila amini Mungu utavuna.
Mtimatawi unachekesha kweli wewe.
We aliyekwambia watu wakienda kuposa wanaandikisha mkataba. We umeambiwa mke ni kama mpangaji wa nyumba!?! Alaaaa!
Labda kama umelelewa mtaani lkn kama umelelewa kawaida 1 kwa 1 utajua kuwa
Unapooa mke utakwenda kuishi nae kwa maelewano na kusaidiana kwa jambo llt na wala huo sio uzungu bali ni ustaarabu.
Mke si mtumishi na sio bidhaa vlvl. Anpo hitaji msaada wa kazi yyt basi huna budi kumsaidia. Wee ungelimuona dada yako anapelekeshwa namna hio we ungesema waandike mkataba?? Thubbutu!