Nina mfumo dume au yeye ana mfumo jike?

sifuti kauli mmezidi kuwa wajinga.

Hamna tatizo kwenye kundi la wajinga hata mamayako, shangazi yako, na dada yako wanaingia, siyo mbaya kusema kuwa hata wewe ni mjinga maana umezaliwa na mjinga.
 
Hivi jaman wanawake wanatakaje?
Wanataka wanaume wahudumie familia hata kama wanawazidi vipato eti ni jukum la mwanaume, mitoko yote mwanaume unasimamia show eti ni jukumu la mwanaume kuonyesha anacare. Na shughuli za nyumban tena...!!!!???? Nooooo hili mimi nalipinga sana, kama wanataka haki sawa basi kuwepo usawa pote. Tuoane bure hata issue za mahari zisiwepo.
 
Anaanza kutoa mifano ya wanaume wanaofanyaga hizo kazi,jamani inauma sana wife anapokuambia ati msaidie kupika,wakati siyo mgonjwa i need your advise kabla sijachukua hatua plz plz anakera sana!


hapana huyu anaiga vitu visivyo na maana,
akuache upike ukijisikia, ufue ukijisikia na umsaidia kwa mapenzi yako si kulazimishana.
 
Back
Top Bottom