Wanaume wenzangu, njia pekee ya kuendesha ndoa yako salama ni mfumo dume

Bacore

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
222
228
Mfumo dume ni njia safi sana katika ndoa, wanawake wengi hasa wanawake kizazi hiki cha instagram, watakuendesha sana, ikiwezekana kukufilisi mali zako, mfumo dume ni njia pekee ya kukuokoa na majanga ya ndoa, usipo install mfumo huo tegemea yafuatayo.1. kufua chupi za mkeo, 2. kuchapiwa kwa sana, 3. viburi,kejeli na dhalau, 4. kuibiwa fedha, 5. kupangiwa siku za mgegedo, 6. kufukuza ndugu zako na wazazi wako mwenyewe kisa, mkeo! mtapata taabu sana wakuu!
 
Safi sana
mfumo dume ni njia safi sana katika ndoa, wanawake wengi hasa wanawake kizazi hiki cha instagram, watakuendesha sana, ikiwezekana kukufilisi mali zako, mfumo dume ni njia pekee ya kukuokoa na majanga ya ndoa, usipo install mfumo huo tegemea yafuatayo.1. kufua chupi za mkeo, 2. kuchapiwa kwa sana, 3. viburi,kejeli na dhalau, 4. kuibiwa fedha, 5. kupangiwa siku za mgegedo, 6. kufukuza ndugu zako na wazazi wako mwenyewe kisa, mkeo! mtapata taabu sana wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLETA THREAD NA WACHANGIAJI MNAHITAJI MAOMBI KWA KWELI...ndoa ni partnership na upendo kujenga familia kwa pamoja ,,,,kusali na kulea watoto wenu katika maadili mema...
hahaha- ujakutana na mashetani wewe! kuna jamaa mmoja, alimsomesha mke wake chuo kimoja hapa Dar, wao walikuwa wanaishi mkoani na watoto wamezaa, mwanamke akawa anajiuza hapa Dar- na huku alimuomba mume wake ajiendeleze na masomo! yaani hawa watu!
 
MLETA THREAD NA WACHANGIAJI MNAHITAJI MAOMBI KWA KWELI...ndoa ni partnership na upendo kujenga familia kwa pamoja ,,,,kusali na kulea watoto wenu katika maadili mema...
Hakuna cha partinarship sijui upendo kwa mwanamke. Labda mme kuwa na njia mbadala ya spiritual working power na kuwajibika kulea watoto. Mme anatakiwa awe na commanding power ndo utaishi na mke na maisha yakaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha- ujakutana na mashetani wewe! kuna jamaa mmoja, alimsomesha mke wake chuo kimoja hapa Dar, wao walikuwa wanaishi mkoani na watoto wamezaa, mwanamke akawa anajiuza hapa Dar- na huku alimuomba mume wake ajiendeleze na masomo! yaani hawa watu!

Hiyo ni unique na hamkukabidhi ndoa yenu kwa MUUMBA ….
 
Madem zangu wote nawapeleka ki hitler na wanatuliaa..Demu anakwmbia tuachane mwambie ndio tuachane lazma akae chin afikir huyu jamaa vip unashangaa anarud mwenyew, ukianza nzile ooh sijui nn nsamehe utasumbuliwa sana kuwa mbabe maninaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
me nishasema sitokuja kuoa kwa sasa hadi nijiridhishe kuwa ntakae muoa atakuwa na vigezo, maana tunasikia ndoa nzuri, mara ndoa tamuu, kumbe nyuma ya pazia kuna maelfu ya mambo yamejificha, yaani kama dem anaish kwao hata mahari sijatoa lakin nikitaka migegedo ni anytime, arafu nioe mwanamke kwa mahali arafu anipangie.. hapo ndio tutaanza kukimbazana bila mpangilio..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepokea ujumbe mkuu

Back
Top Bottom