Kuna haka kamsemo kasemacho "One who causes others misfortune also teaches them wisdom".
Hivi unaweza kuniambia kila kitu tutafanya kwa matakwa yetu na kamwe hatuwezi kuangalia matakwa ya wenzetu?
Japo wanasemaga mwanaume msimamo ila kwa hilo nalipinga 100%.
Kusaidiana kunahitajika katika majukumu ya nyumbani.
kama anaona kazi aajir msaidiz amsaidie kaz za nyumban,ila sio ww,simama kiume
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
Well said mkuu..
Mkuu upo_longtime no see you.
[/COLOR]
Kama wewe unaamini uumbaji wa Mungu.... mwanamke aliumbwa awe mfanyakazi au MSAIDIZI? kazi zote hizo ni zako...yeye yupo tu kukusaidia...ndio maana bibilia inasema"Mungu akaona mtu huyu asiwe peke..... nitamfanyia msaidizi!!"" sio MFANYAKAZI....tia akili mkuu!!
nipo mkuu hekaheka za mjini zinatubana kidogo,ishu niaje?
Pole sana kiongozi wangu.
mabala the farmer umekimaliza....
pole endelea kukariri mdogo wangu
kumbe kumsaidia mwenzio kazi ni mambo ya kizungu?
na yenu waafrica ndo yapi hayo?
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane
Haleluyah! Amen.
Mi naongezea tu.
We ulipoenda kuoa ulienda tafuta mtumishi au mke. ?? Huyo ni mke sio mjakazi wako. Tena km mimi ni kaka ya huyo mkeo ningekukata zote kumtumikidha dada yangu kila siku. We shs ngapi unamlipa kukupikia. Kukufulia na kusafisha nyumba?? Mbambaf wahedi!
hehehe me like this🙂Haleluyah! Amen.