Nina mfumo dume au yeye ana mfumo jike?

Biblia inasema kuwa ....tamaa zako zitakuwa juu ya mwanaume na atakutawala......Soma Mwanzo 3:16
Hii ni laana iliyotolewa kwa mwanamke baada ya kuasi.

Binafsi usimsaidie maana ukijaribu tu siku ingine atakuja na kukuambia mbona siku ile ulifanya

We ndege wa andy wacha kutumia maneno ya biblia kumkandamiza mwanamke.
Unasema mwamke amelaaniwa. Je nikuulize na mama alie kuzaa anaingia ktk hilo kundi?? Wacheni kuchambua maneno kwenye bible halafu mnayatumia kwa faida zenu. Binaadamu ni mnyama mbaya sana. Yaani kama mm ndio nimekubatiza basi nakubatizua sasa hivi ili ubatizwe upya.
Mnsssssss!
 
kahtaan kasome mwanzo 3 utaelewa vizuri

Nimesoma biblia mwanzo mpaka mwisho kwa miaka 7.
Laana inayoongelewa hapo ni ile iliotokea wakati wa mwanzo na hakuna kosa mwanamke alilofanya ambalo laana yake aishi au inaendelea.
Kusema hivyo ni kumaanisha Mungu ajamsamehe eve kula tunda. Kitu ambacho sio kweli. Mwanamke ni mlezi wa familia na ni mama zetu na dada zetu. Kutumia maneno ukimsingia mungu ili upate kumnyanyasa mwanamke siku ya hukumu utakuja ulizwa na Mungu mkuu kwa uongo uliomzulia.
Na rafiki yangu andybird uta fly to hell fire usipoacha kumsingizia Mungu aliyekuumba akakupa mikono ya kuandika uongo!
 
Last edited by a moderator:
Kama unaona dada yako anaonewa ruksa kukaimu

We tigo. Unatakiwa usome uelewe kwanza ndipo utoe hoja. Nimesema km huyo anaetishiwa talaka kwa kukataa kufanya kazi zoote peke yake .angelikuwa dada yangu basi ningemtafuta huyo shemeji uchwara nikakata zote halafu nikafunua na dada yangu nikarudisha nyumbani.
Na kwa ushauri tu. Hii avatar yako ni alama ambayo inafanana na watu wa sodoma na gomora walio laaniwa naomba ubadilishe kabla laana haija kuangukia na wewe.
 
Kabla ya kuoana nivizuri mkafanya mkataba unaoeleza kila jambo kwa uwazi kabisa,kazi gani ni za mwanamke na kazi gani nizamwanaume, mambo gani mwanamke anaruhusiwa kufanya na mambo gani haruhusiwi kufanya, mambo gani mwanaume anaruhusiwa kufanya na mambo gani haruhusiwi kufanya.kama mlikubaliana kuwa mtasaidiana kila kazi sawamsaidie kazi zote lakini kama hamkukubaliana basi mwambie kuwa hamkukubaliana kusaidiana kazi zote kusaidiana.mambo ya ndoa nimakubaliano ya watu wawili watu wengine ni mwiko kuingilia kwa sababu hamjui makubaliano yao yanasema nini.

Mtimatawi unachekesha kweli wewe.
We aliyekwambia watu wakienda kuposa wanaandikisha mkataba. We umeambiwa mke ni kama mpangaji wa nyumba!?! Alaaaa!
Labda kama umelelewa mtaani lkn kama umelelewa kawaida 1 kwa 1 utajua kuwa
Unapooa mke utakwenda kuishi nae kwa maelewano na kusaidiana kwa jambo llt na wala huo sio uzungu bali ni ustaarabu.
Mke si mtumishi na sio bidhaa vlvl. Anpo hitaji msaada wa kazi yyt basi huna budi kumsaidia. Wee ungelimuona dada yako anapelekeshwa namna hio we ungesema waandike mkataba?? Thubbutu!
 
Tatizo haya ma mke yetu ukiyasaidia yanaenda kutangaza kuwa Umeshikwa,pumbafuuuu mkomalie mpaka anyeee kulaleki.
unaonyesha una roho mbaya sana, hapo kwenye red hayo si maneno ya kuongea, mnatakiwa mkubaliane na msaidiane, ule ni upendo tu, na si vinginevyo, na huo upendo ndiyo unaleta amani kiasi unaweza kufikiria maendeleo na kuweza kufanya kazi vizuri na kuwa na afya njema wewe na familia yako. lakini ukianza kufanya hayo amani ndani ya nyumba inatoweka kiasi inaharibu kila kitu. jiulize unaweza kuwekeza kwenye vita? kana ndiyo hongera. Naomba futa kauli yako hiyo hapo juu tafadhali.
 
Kusaidiana na kusikiliza hisia za mwenza wako ni muhimu sana_lakn mpaka jamaa kaja hapa maake huyu mke wake atakuwa kazidisha chumvi,..halafu mbaya zaidi anajilinganisha na majirani zake(kumbuka jamaa kasema hata haumwi wala nini)...ubaya upo kwenye kusema mbona fulan na fulan wanafua,wanadeki,wanaosha vyombo and the like.

Hili la kukataa kufanya hivyo wala sio mfumo dume,..wanataka kuleta mambo ya kwenye tamthiliya za kifilipino kwenye uhalisia(mahusiano) ya kiafrika....i beg to differ mkuu.

aah! Hata kama ndoa kusaidia uyo wife kazidi onesha msimamo wako kama mwanaume lijali vinginevyo atakudhalau.
 
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige chini? Mana anaiga mambo ya kizungu ati tusaidiane

Kiukweli hakuna mwanamke anayeshindwa kazi za nyumbani ila ishu ipo kwenye majukukum ya ziada kama kazi za kuingiza kipato zifanywazo na wanawake wa leo, tutuoke wote asubuhi kutafuta ,kwa tunaokaa kwenye miji ya foleni itanilazimu kutoka kitandani saa kumi alfajiri, kuandaa vya asubuhi pamoja na usafi , tena kama nina mtoto mdogo ndio uuuhiii.natoka ofisini say saa kumi na moja kufika home si chini ya saa moja, usiulize naishi wapi, nifike home niandae msosi , mara naitwa wife naomba glas ya juisi while u r watching movie, msosi ukiwa tayari ni saa tatu hivi nisafishe vyombe ,nipange mengineyo, cjatafuta nguo za kuvaa kesho na kupasi, naingia kitandani yapata saa tano kama si sita usiku bado natakiwa nitimize wajibu kitandani, kweli hapo definition ya upendo ipo, will u enjoy kuniona natoil hivyo kama mkeo,

Nionavyo mimi kumsaidia mke huwajibiki lakini palipo na upendo wa kweli huwezi kumuacha mkeo anasuffer while unaenjoy maisha pekeyako. u will not b a responsibo husband na upendo wa mkeo kwako utapungua tu hata kama ana moyo wa chuma.
 
Mkuu kusaidiana kupo lakini usiruhusu ikawa ni amri. Kwa mfano unaweza kuamka na kuchuku nguo zote na kuzifua bila kuambiwa. Na siku mojamoja ukapika hakuna tatizo. Tatizo la wake zetu when u give her an inch she demand a yard, and when u give her a yard she demand a mile.
 
lol hivi wanaume kuoa wanaona kama wanampa zawadi mtu?,na bado anatarijia akutumikishe weeeeeeeeee utafikili anakuliapa
 
Khaaaaa!!! Kabanga embu tuambie moja tu , tujue ni nini hicho, tuweze kujifunza toka kwako.

mimi na hudumia wanangu mwenyewe, wote ni wadogo, mkubwa ana miaka 6 mdogo mwaka na nusu, kuanzia asubuhi mdogo anabaki na bibi, wengine natoka nao kwenda shule/kazini, mama yao yuko mkoani... suala hili la kihudumia familia ni kujipanga tu...
 
Duuuuuuuh! Mungu akupe kheri katika maisha yako, yaani wewe ni baba bora ambaye unajua majukumu yako na wajibu wako. Congratulation!!! Usijali utaona matunda yake baadaye wewe palilia na mwagilizia ila amini Mungu utavuna.
 
aamin... karibu!
 
Mtimatawi unachekesha kweli wewe.
We aliyekwambia watu wakienda kuposa wanaandikisha mkataba. We umeambiwa mke ni kama mpangaji wa nyumba!?! Alaaaa!
Labda kama umelelewa mtaani lkn kama umelelewa kawaida 1 kwa 1 utajua kuwa
Unapooa mke utakwenda kuishi nae kwa maelewano na kusaidiana kwa jambo llt na wala huo sio uzungu bali ni ustaarabu.
Mke si mtumishi na sio bidhaa vlvl. Anpo hitaji msaada wa kazi yyt basi huna budi kumsaidia. Wee ungelimuona dada yako anapelekeshwa namna hio we ungesema waandike mkataba?? Thubbutu!

inaonekana ukiona dadako anavyompelekesha shemeji yako unafurahi sana,mi dadangu akiwa anapiga kazi ndio najisifu tumemlea vema na sio kinyume chake et nafika kwa shemeji yangu namkuta anaosha vyombo,anapika na kumlea mtoto wao wakati sista amepumzika,peleka hukohuko uzungu wako
 
Mtimatawi unachekesha kweli wewe.
We aliyekwambia watu wakienda kuposa wanaandikisha mkataba. We umeambiwa mke ni kama mpangaji wa nyumba!?! Alaaaa!
Labda kama umelelewa mtaani lkn kama umelelewa kawaida 1 kwa 1 utajua kuwa
Unapooa mke utakwenda kuishi nae kwa maelewano na kusaidiana kwa jambo llt na wala huo sio uzungu bali ni ustaarabu.
Mke si mtumishi na sio bidhaa vlvl. Anpo hitaji msaada wa kazi yyt basi huna budi kumsaidia. Wee ungelimuona dada yako anapelekeshwa namna hio we ungesema waandike mkataba?? Thubbutu!

inaonekana unafurahia sana ukikuta shemej yako akiwa anapigishwa kazi na sista wako,kuosha mavyombo,kupika,kulea mtoto huku sista amepumzika.
wakati mimi nikiona sista anapiga kaz ndio najisifu tumemlea vema binti ana maadili ya mke mwema.
kazi za mwanaume zipo na ndio mana kuna kitu kinaitwa division of labor,nae shem asipozitimiza lazima nimmaindi ila sio kaz za ndan
huko ni kutiana aibu
 
mimi na hudumia wanangu mwenyewe, wote ni wadogo, mkubwa ana miaka 6 mdogo mwaka na nusu, kuanzia asubuhi mdogo anabaki na bibi, wengine natoka nao kwenda shule/kazini, mama yao yuko mkoani... suala hili la kihudumia familia ni kujipanga tu...

kumbe mke wako yupo mkoan,mi nilijua yupo hapohapo halaf anakupelekesha hivyo,
situation yako na ya jamaa ni tofaut usimdanganye ageuzwe mme -----
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom