Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Mpe muda kama kweli bado unam feel kabda hujaamua ku move on na maisha mengine, kumbe alishasema ana stress za familia, give him every benefit of doubt, mpe dharura, miezi minne kitu gani kwa mtu unaempenda na aweza kua your lifetime partner? sababu waweza mbele ya safari ukapata mwingine na yy aka behave kama huyo itakuumiza tena. Mimi na assume unamjua vema mwenzio, the devil you know is better than a friend you don't know
 
Habari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
Unalilia vihela vyako ama? Miezi minne then unasema mlipendana kwa dhati, ulitumia vigezo gani?
Amka endelea na mambo yako, hakuna upendo hapo na wala haujawahi kuwepo!
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Mpe muda kama kweli bado unam feel kabda hujaamua ku move on na maisha mengine, kumbe alishasema ana stress za familia, give him every benefit of doubt, mpe dharura, miezi minne kitu gani kwa mtu unaempenda na aweza kua your lifetime partner? sababu waweza mbele ya safari ukapata mwingine na yy aka behave kama huyo itakuumiza tena. Mimi na assume unamjua vema mwenzio, the devil you know is better than a friend you don't know
 
Habari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
Mpe muda azowee pesa kwanza. Pesa Zina utamu kama ushamba wa kuja mjini. Akizowea atakurudia na kukuletea card za AM SORRY BABY na maua.

Pole sana mkuu
 
Bora ukae kando, kuwa busy na ishu zako. Tabu sana ukipata limwanaume ambalo halijitambui yaan utahangaika mno.
 
Kama mapenzi yapo hata mtu awe busy kiasi gani atakujulia hali tu hata kwa kimessage .......hapo hakuna mapenzi .

Pia mtu kama anakupenda hutotumia nguvu nyingi kumuweka kwako bidada ..

Chakukushauri Pangusa hiyo sketi tena uchanganye miguu kutafuta furaha mpya
 
Habari zenu!
Nilikua na mpenzi ambae tumedum kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhat na kwakipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kaz hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila nilipokua na kidogo sikusita kumpatia.
Kilichonifanya nije hapa janvini ni kwamba: mwanaume huyu amebadilika sana, hapigi cm nikipiga hapokei, nikimtumia jumbe hajibu.kiukweli hali hii inaniumiza sana nashindwa hata kula,nimekua mtu Wa kulia lia kila mara, tafazali naombeni msaada wenu maana maji yamenifika shingoni
The only solution is to move on japo ni shida ila ubaki mwenyewe
 
Yaani huu ambao nimeuesabu wanne wote mawasiliano c mazuri kakaangu, ni kweli nilimpenda sana sifichi. Lakini hali yake yakukaa kimya ndio inaniumiza
Wenzio siku hizi hatupendi doh!!!!!!!
 
Dada ukiwa mapenzini usiiache furaha yako itoke kwa mpenzio, jipe furaha wewe mwenyewe bila hivyo utalia kila uchao na ulcers atakuwa ni rafiki yako mpendwa.

Pole hujachelewa, na miezi minne si mingi kwenye mahusiano, pia siku nyingine usiingie miguu yote tangulia mguu mmoja tena ikibidi wa kushoto
 
Hakukupenda tangu mwanzo...alikutamani tu..wewe ndio uliempenda.

Cha kufanya mpotezee japo najua ni ngumu kwa vile ulimpenda sana. ..ila jitahidi
 
Kaaa wanawake bwana, miezi minne kwenye mahusiano unamlilia mwanaume. Kwanza alikutongoza kwa muda gani? Ulimkubalia baadae ya muda gani ? Kiraisi tu huyo jamaa ni mume wa mtu , na alikudanganya tu , ili ale mzigo.
 
Mtafute ana kwa ana akupe ukweli. Ila ni kama alikuja kwako kwa vile alikuwa na njaa sasa keshapata huenda anatafuta wa hadhi yake my kakuona hamuendani tena.
Maofisini nako kuna wadada warembo hawana waume akija mfanyakazi mpya wanamganda fuatilia kwa makini ujee undani.
 
Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Kumbe kakupa sababu..... give him a break, he will find you when he is okay.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Ila ukimuona ana katabia ka ulimbukeni mpuuze na uendelee na mambo yako. Sababu yake ni dhaifu na ya kutengeneza. Eti ana matatizo ya kifamilia si ndiyo muda angekuwa karibu nawe ili umpe faraja. Lakini tusiusemee moyo ni uzoefu tu my Dada.
 
Back
Top Bottom