Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,577
Mtu anaonyesha kabisa hakutaki kwanini ung'ang'anie?hivi kumove on inakuaje rahisi kwa watu wengine?
Unaendelea tu na mambo mengine maisha yanaenda..mbele ya safari utapata mwingine.
Mtu anaonyesha kabisa hakutaki kwanini ung'ang'anie?hivi kumove on inakuaje rahisi kwa watu wengine?
Duuh i wish niwe na uwezo wa kumove on kwa spidi ya hatarMtu anaonyesha kabisa hakutaki kwanini ung'ang'anie?
Unaendelea tu na mambo mengine maisha yanaenda..mbele ya safari utapata mwingine.
Ukiwa umeshaingia kwenye ndoa inakuwaga ngumu kidogo. Ila bf na gf haikuwahi kunipa shida.Duuh i wish niwe na uwezo wa kumove on kwa spidi ya hatar
Unapenda usipopendwa,stress za familia si sababu za yeye kuwa mbali nawe,kashapata alichokuwa anakitafuta,ni muda wa ww kumove on,Yaani huu ambao nimeuesabu wanne wote mawasiliano c mazuri kakaangu, ni kweli nilimpenda sana sifichi. Lakini hali yake yakukaa kimya ndio inaniumiza
Wanaotuachaga wanasingiziaga hivyo,kamata njia ongeza mwendo hapo huna chako ukilazimisha sana,huko mbeleni ndo utapata shida kuliko ya sasa hivi,Nilimuuliza ktk hali ya ukali alisema kwamba anastress za kifamilia na hafkirii kuhusu mapenzi kwa sasa hivyo nimuache
Hujapenda mtoto wa kike, omba Mungu Akuepushe na kikombe hichomie ukiniwekea mapozi siku moja tu ya masaa 24 ndo bas !yaan sikusumbukii hata ! kha !wanaume walivyojazana namna hii nakuliliaje sasa
Hujapenda mtoto wa kike, omba Mungu Akuepushe na kikombe hicho
Asante nimekuelewaMpe muda kama kweli bado unam feel kabda hujaamua ku move on na maisha mengine, kumbe alishasema ana stress za familia, give him every benefit of doubt, mpe dharura, miezi minne kitu gani kwa mtu unaempenda na aweza kua your lifetime partner? sababu waweza mbele ya safari ukapata mwingine na yy aka behave kama huyo itakuumiza tena. Mimi na assume unamjua vema mwenzio, the devil you know is better than a friend you don't know
Mkuu, love doesn't y sawa, hata mi cjui ilikuaje nikampenda hivo.kiukweli hali hii siipendiUnalilia vihela vyako ama? Miezi minne then unasema mlipendana kwa dhati, ulitumia vigezo gani?
Amka endelea na mambo yako, hakuna upendo hapo na wala haujawahi kuwepo!
Ntajitahidi dadaanguKama mapenzi yapo hata mtu awe busy kiasi gani atakujulia hali tu hata kwa kimessage .......hapo hakuna mapenzi .
Pia mtu kama anakupenda hutotumia nguvu nyingi kumuweka kwako bidada ..
Chakukushauri Pangusa hiyo sketi tena uchanganye miguu kutafuta furaha mpya