Nina mashaka

mi ciamini kweli kuna kanisa ka hili kweli maneno yametimia manabii wa uongo watatokea wakisema "Yesu yupo huku,lakini msitetereke simamia imani yako"
 
nampenda mungu na kwa hili suala la makanisa mi ndo sihumiz kichwa sikuhiz ni biashara yan ilimrad mtu ananena kwa lugha baaaas watu masikio yawasimama kutaka kujiunga huko jaman msitetereke iman zenuu huyo mwiz tuu hana lolote shabashiiii anabahat sikua mim ningemuuliza mbna?

beibe nasty ndo hivo siku hizi dini zimegeuzwa biashara
 
Last edited by a moderator:
Haya makanisa ya kisasa yenye majina ya kuvutia, mfano New Miracle Church, Kanisa la ufufuo, Roho ya Amani centre,nk ni makanisa yanayoanzishwa na matapeli mahiri. Ni wazungumzaji wazuri sana wanaotumia mistari ya biblia kwa ufundi mkubwa. Ukivutwa nao ndo imekula kwako. Ndio hao watakuambia: Ukiweka laki moja kwenye boksi la madhubahuni utapata milioni moja. Hii ilishapata kutokeakwenye kanisa moja Ruvu mkoani pwani. Waumini walitoa mapesa yao na kuyaweka kwenye boksi wakitarajia kila laki moja itazaa milioni. Siku zikapita miezi ikapita hakuna kilichotokea. Baadhi ya waumini walienda kuripoti polisi na ndipo ilipogundulika kwamba huo ulikuwa ni utapeli unaotumia jina la Mungu. Cha kushangaza ni kwamba wengi waliopoteza fedha zao kwenye huu utapeli wa madhibahuni walikuwa wanawake! Hivi kweli, ni kwa nini? Tuwe waangalifu na haya makanisa jamani.
 
HYGEIA siku hizi utapeli mwingi
 
Last edited by a moderator:
Mungu asema. watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. si utoe kama ulivyopanga kutoka nyumban4
 
Back
Top Bottom