Nina mashaka

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamani nilikuwa kanisani,kuliko pastor mgeni aliyekuja hapo kanisani,akafundisha somo la "utoaji",somo ilipoisha
akasema akasema sema watu wamtolee Mungu vitu ambavyo wanajisikia kutoa,watu wengi walitoa vitu walivyonavyo pale pale.Wengine walitoa makoti,khanga,shati,mikufu na mengine mengi.
Mi nilitoa saa yangu ya diamond,baadaye nashangaa jamaa alichofanya kachambua vitu vyenye quality
halafu akawarudishia watu vitu ambavyo kwa kiasi flani vilikuwa vimechakaa au vya bei cheap.

sasa najiuliza,kama mtu alitoa alicho nacho kwanini umrudishie?kila mtu ametoa ili apate baraka,sasa why arudishiwe alichotoa,mbona waliotoa vitu vya ghali hawakurudishiwa?

Jamani mtumishi huyu ni yupo sahihi au ndo janja?
 
Hayo makanisa yenu ya kileo. . .DAH!!
Biashara. . .biashara. . .kwahiyo hawezi chukua vitu vyenye quality ya chini.
 
Hayo makanisa yenu ya kileo. . .DAH!!
Biashara. . .biashara. . .kwahiyo hawezi chukua vitu vyenye quality ya chini.
Lizy mi hainiumi kwa utoaji niliofanya,but why arudishe vitu ambavyo havina quality?
 
Last edited by a moderator:
Lizy mi hainiumi kwa utoaji niliofanya,but why arudishe vitu ambavyo havina quality?

Level, hebu angalia makanisa yanavyoibuka kila leo kama uyoga, mara True Bible Church, Holy Bible church, Church of Christ the King, Haya nilikumbana nayo Nairobi na yapo si mbali toka moja hadi jingine. Lengo ni nini? Siku za mwisho watakuja manabii wengi, tena wataponya na miujiza mingi...akili kumkichwa. Hali ya uchumi mbaya, maisha magumu, nyumba hazina amani, ndoa zinavunjika, familia kuvurugika, pesa haikamatiki... Hawa huwahubiri kuangalia haya, njoo ubarikiwe upate pesa, utajenga nyumba, nyumba yako itasimama.
 
Last edited by a moderator:
cku hz makanisa yanaibuka kama uyoga lengo kuu ni biashara. Imeandikwa angalie mtu yeyote asiwadanganye kuwa Masihi kaonekana kule mkatoka kwenda kutizama. na nyingne. Na katika nyakati za mwisho watatokea manabii wa uongo nao watawapotosha wengi yumkini hata wateule! so mwenye sikio na asikie...
 
nampenda mungu na kwa hili suala la makanisa mi ndo sihumiz kichwa sikuhiz ni biashara yan ilimrad mtu ananena kwa lugha baaaas watu masikio yawasimama kutaka kujiunga huko jaman msitetereke iman zenuu huyo mwiz tuu hana lolote shabashiiii anabahat sikua mim ningemuuliza mbna?
 
Back
Top Bottom