sawa, mpiga marimba na saxasphone atakuwa nani?
Mie ntasaidia kupiga kayamba
Ana organic whole milk.
Mie nkajua ni cowbell, our milk! Nimeshachuma mchaichai naja huko.
Mpiga marimba inamfaa Bishanga abashaija ila simuoni kijiweni
Got milk?
Bishanga yuko busy tegeta, ana world bank kongosho assignment. Bora ujitonyege mwenyewe
Khanga moko...yaani ndembendembe...laki si pesa!
Nataka nianzishe mashindano ya khanga moko....
Pendekezeni majina ya washindani
Heart
nitonye
king'asti
Ntakuraamba na wewe
Ustadi mkubwa sana unahitajika katika hii shughuli....ndembendembe ndo inahitajika sio ndambwandambwa!!
Unavaaga khanga wewe?
Thubutuuuu! Utasema na PAW!
Ndivyo mlivyodanganyana?Ana organic whole milk.
Heart
nitonye
king'asti
Ndivyo mlivyodanganyana?