Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

NN nenda kwenu unaitwa! Stori za wakubwa hapa haziruhusiwi banaa, weeh vipi?
 
sawa hulazimishi ila ukitaka ntakupozea

ngoja nikaoge kwanza, ntakuja na azam cola yangu maana joto kahawa ntatoka jasho na maji yenyewe hayatoki ntaogaje sasa
 
Bora tujiachie sredi hii, huko kwingine tutaitwa wakosa hoja bure :lol:
 
vp bed litapatikana maana najua watu wakishakunywa ghahawa watahitaji kumpumzika kidogo
 
Tuanzishe bendi ya taarab
afu mnenguaji wetu awe moyo

maana anaonekana anaweza kuwa 'the crazy one' akiamua. 🙂

Ngabu anaraamba anaraamba tena aahm aahm....araamba araamba tena aaaaahm
 
Tuanzishe bendi ya taarab
afu mnenguaji wetu awe moyo

maana anaonekana anaweza kuwa 'the crazy one' akiamua. 🙂

Hahhaaahaa...nina kiuno kigumu kama kabati,msitake watu wadai pesa za viingilio..ila kama wewe utakuwa pembeni yangu tukinengua wote naweza kupata confidence kidogo:tongue:
 
sasa hivi wanataka GX100 tu

Kunywa 3 kwa afya, waambie wanicharge kwenye tembocardmastercard yangu!
BTW gahawa si eksipensivu kuliko wanzuki beer au?
 
mi namwangalia tu fulani
wanacheza cheza wee

mi sitasema kama niliwaona
ngoja niendelee kugawia kahawa wageni wangu

king'asti msuba hauruhusiwi hapa

NN nenda kwenu unaitwa! Stori za wakubwa hapa haziruhusiwi banaa, weeh vipi?
 
na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie

kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.

Mi nlifikiri una hamu ya dudu bana! Kumbe ku chat? Aaaagghh! Ngocha nikacheki movie!
 
yaani huu mkeka wote hauwatoshi!

Ntaenda kuazima mwingine kwa mama havintishi basi

vp bed litapatikana maana najua watu wakishakunywa ghahawa watahitaji kumpumzika kidogo
 
he he he, nicheke kitandale mieee..

Dah, ni kweli ponda gizani atakayelia limempata.

Umenichekeshaje!
Masharti na vigezo kuzingatiwa...:lol::lol:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom