Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

Mie nacheka tu
sitii neno

tatizo langu kukaa kimya siwezi
hadi nipate juisi ya supagluu kidogo

Hahahaha. . . Mtihani mgumu kama kutafuna chuma.
Acha waMisri wavamie Egypt. . . wanajuana wenyewe.
 
Kumbe!
Hili lilikuwa swali komoni sana kwenye jografia miaka hiyo ya kusovu mapepa

uzee huu, tabu tu

Nile ikikauka Misri siyo Misri tena maana maji yake ni zaidi ya gold
 
yaani mi hapa nimekisearch sikioni sijui nini kimetokea naona mauzauza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom