Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

haina shida
wewe unajua na kutumia maneno kuongeza fleva

nakuamini kwa kiwango cha juu kabisa katika kuburudisha halaiki

Hahhaaahaa...nina kiuno kigumu kama kabati,msitake watu wadai pesa za viingilio..ila kama wewe utakuwa pembeni yangu tukinengua wote naweza kupata confidence kidogo:tongue:
 
na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie

kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.

Nilidhani una hamu ya kupiga mbizi.
 
inabidi na kiduku tucheze sasa sijui nani mchezeshaji
 
ha ha ha
sitaki kuona dishwaaa dishwaaa humu ndani
ujue mie ndo refa
ntabeba timu moja kama Man U jana

Hahahaha. . . . mkosa hoja anapoanzisha madongo.
 
haina shida
wewe unajua na kutumia maneno kuongeza fleva

nakuamini kwa kiwango cha juu kabisa katika kuburudisha halaiki

Nashukuru kwa kunipa hiyo nafasi...Naomba twende uwanjani sasa,nishajikoki. Nimefunga na kibwebwe..liwalo na liwee...
 
Unapika nini Heart? Niko njiani nakuja hivyo

Mmhh...nikikwambia nnachopika utataka uje mpka jikoni kuonja,wakati mie naandalia wana-JF wote kwenye jamvi....na ukimmung'unya kwa utamu tu woooote watakuja huku....itakuwa balaa! Have patience,kama unakuja nisubirie mlangoni tu.

Kwanza kuna show ya Taarab inatusubiri...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom