Nina hamu ya...

Nina hamu ya...

Naona umeamkia mapema kabisa kijiweni!! Ngoja nipite tu hapa, nimewamiss sana!!!!:tea::music:

Rejao, mambo vipi naona upo kijiweni mie ndio nafika kuna habari gani leo apa kijiweni?
 
Na mshindi ni....

NN mwandaaji njoo na funguo za hiyo pikipiki basi.

The Second Runner is nitonye
The First Runner is Michelle
And the Winner of 2012 NN ndembendembe Contest is .........., nimepaliwa mate Lizzy na heart mnawangia sauti ya mtangazaji.
 
Rejao, mambo vipi naona upo kijiweni mie ndio nafika kuna habari gani leo apa kijiweni?
mi leo nipo on and off mkuu...
majukumu yamenibana sana, hata muda wa kukaa hapa kijiweni nakosa!
 
Kongosho umeona sasa, umeanzisha baraza kahawa ya bure na kiduku watu hawataki kuondoka!
Mimi nna hamu..........kijiwe kiendelee!
 
Na mshindi ni....

NN mwandaaji njoo na funguo za hiyo pikipiki basi.

The Second Runner is nitonye
The First Runner is Michelle
And the Winner of 2012 NN ndembendembe Contest is .........., nimepaliwa mate Lizzy na heart mnawangia sauti ya mtangazaji.

Kunywa maji kidogo
 
teh teh teh....Kumbuka kuna mtu aliyakimbia mashindano....:eyebrows::eyebrows:
 
Wow, you made my day...First Runner up in such a huge competition means a lot....Enjoy your Day...we are waiting for the ultimate winner!!
 
Sasa wewe unaanza kuwaponda washiriki kabla hajatangazwa
Zitapigwa sasa hivi
Si uliona yale sijui ya utalii Dodoma
Ngumi zilivyovurumushwa!!!

teh teh teh....Kumbuka kuna mtu aliyakimbia mashindano....:eyebrows::eyebrows:
 
na hamu ya kuanzisha sredi
ila sina jambo la maana
nataka sehemu ya kupiga soga tu
naogopa kuchakachua sredi za watu bure
mwishowe waninunie

kwa anayetaka kijiwe cha kahawa bila stress
Karibu hapa, karanga na kashata juu yako.
Kongosho, kila siku ninaona avatar yako lakini leo nimeangalia kwa makini. Nimecheka sana!
Hilo "toto kubwa" ndio linafanya nini hapo?
 
Sasa wewe unaanza kuwaponda washiriki kabla hajatangazwa
Zitapigwa sasa hivi
Si uliona yale sijui ya utalii Dodoma
Ngumi zilivyovurumushwa!!!

Ni kweli,ukizingatia muda wa kujinadi ulikuwa pale stejini na ndo ushapita...ngoja nikae kimya. Ila nitakapokutana na NN....mmh???!!!
 
Hahahahahaha......thanks a lot, you made my evening! Maana huo ugali unapikwa chini...LOL....🙂 🙂

Madame KH, nimeshawahi kuona hiyo wakati wa kusonga ugali ili kuhakikisha unga unachanganyika na maji vizuri halafu mchanganyiko ukishamridhisha msongaji basi hurudishwa kwenye jiko ili kuendelea kuusonga hadi uive. Kuna bamia na samaki za kukaanga pembeni hahahahaha lol! Niwaambie wakupakulie? lol!:juggle:
 
Mwandaaji kakataa kutangaza matokeo.

Popote anatakapoonekena NN aje huku atangaze bana
Tumekesha usiku kucha tukisubiri hii
 
Mwandaaji kakataa kutangaza matokeo.

Popote anatakapoonekena NN aje huku atangaze bana
Tumekesha usiku kucha tukisubiri hii

Amenijulisha niwaambieni msijali, hakuingia mitini, yuko kwenye box, akimaliza atakuja.
Pia kaniagiza umtayarishie ugali na sukuma wiki.
 
mambo Kongosho? karibu basi kaunta ,leo niko rose garden.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom