Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Naona somo limekuingia haswa. . . .mmmhhh let me guess..
we umekaa hapo kitandani unaniangalia nnavyokufanyia Victoria secret show.. lakini yakweetu lazima kuwe na khanga..

mmmhhh let me guess..
we umekaa hapo kitandani unaniangalia nnavyokufanyia Victoria secret show.. lakini yakweetu lazima kuwe na khanga..
Hahahahaha. . . dearest kiuno majaliwa mpenzi. Hata mchina hana dawa.
Hivi umesahau kikao?? mbona hivi lakini?
Mfundishe jinsi ya kulamba, asije washa moto zaidi ikawa tabu,manake wengine waleta maisha ya movie..lol
nahisi kama waandaji wamekimbia na zawadi au????lol
go on...
Mwenzangu dawa ni mazoezi tu, yapo mengi tu hata ya kusaidia wale bapa....lol
Mwenzangu! Nimekata mauno weeeee..nimeishia kuambulia miluzi tu..hata kutunzwa situnzwi. Na NN ndio muandaaji..muda ushaenda sasa,yeye haonekani...mmmh!!!
ahhhhh bana mengine itabidi tupeleke chumbani..
siwajua tena Khanga ikinata mwili baada ya kutoka bafuni inasema mengi..
Kheee. . . nibinuke kwani nakwepa kulipa kodi?Kua na heshima babu wewe.
huyu Nyani Ngabu yuko wapi tena au anahangaika na vinywaji asije akawa amezima maana kwa ulevi nae
Mwenzangu! Nimekata mauno weeeee..nimeishia kuambulia miluzi tu..hata kutunzwa situnzwi. Na NN ndio muandaaji..muda ushaenda sasa,yeye haonekani...mmmh!!!
Ishakuwa suala la kiuchumi tena?? kumbe wanaokwepa kodi hubinuka,JF shule !!
Asije mtu mwingine wakutusumbua
waiting......
hahahahah mziki muziki mkubwa bana..
Kukilainisha sawa, ila kukichonga kazi ya mtu mmoja tu.
ahhhhh bana mengine itabidi tupeleke chumbani..
siwajua tena Khanga ikinata mwili baada ya kutoka bafuni inasema mengi..
endelea kusubiri tu....