Yaani mbeya ime zidi sana pako nyuma sana na shida wanyakyusa walio kimbia kyela kwao wakaja kuwa fukuza wasafwa mji mbovu ukitafuta nyumba kazi huwezi amin natafuta nyumba ila sijapata nyumba mzuri ya kisasaTanzania hakuna jiji, ni vijiji vilivyochangamka.
Inategemea unatembea wapi kibaka wewe.Pita mitaa ya forest uhindini,Nime tokea kuto papenda kwasababu Mbeya ni kama kijiji kilicho changamka ni mji ambao hauvutii kabisa ni vibaya kuliita jiji licha ya kukusanya kodi nyingi ila mbeya ni pabovu sana sijui wenzanguu mna paonaje?
Nitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic?
Ata dodoma pazuri mji ulio anzishwa juzi tu
Nenda Uhindini kule halafu punguza kelele sana unatuumiza masikioYaani mbeya ime zidi sana pako nyuma sana na shida wanyakyusa walio kimbia kyela kwao wakaja kuwa fukuza wasafwa mji mbovu ukitafuta nyumba kazi huwezi amin natafuta nyumba ila sijapata nyumba mzuri ya kisasa
Nenda Uhindini chukua boda hapo mwambie nipeleke UhindiniNdio kuna maajabu?
Ungeishia hapa tu na sio kusema mbeya ni kijijiNitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic?
Hata huko kwa kawaida bana 😹Inategemea unatembea wapi kibaka wewe.Pita mitaa ya forest uhindini,
Umekuja kwa dhihaka unataka tu kupokee vipi ?Mbona matusi kaka mkubwa ee