dukuduku

St Lucia is a settlement in Umkhanyakude District Municipality in the KwaZulu-Natal province of South Africa. The small town is mainly a hub for the iSimangaliso Wetland Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

    Jichagulie jambo unalolitaka tuzogoe! Nini kilikufanya usitake tena kurudia kukutana na mtu kimwili (sex) baada ya kufanya naye kwa mara ya kwanza? Tuambie kero, makwazo au jambo lolote lisilofaa ambalo limeshawahi kukukuta au bado linakusumbua faraghani kwenye kufanya tendo na mpenzi au...
  2. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania TikTok live (Dukuduku) ya Pipy Tida chazidi kupamba moto na kuibua maswali juu ya ulinzi wa taarifa binafsi

    Kipindi cha Dukuduku kinachoendeshwa kupitia TikTok na mtayarishaji wa maudhui Pipy Tida kimeendelea kuvuta hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna kinavyogusa maisha ya kawaida na masuala yanayowakabili watu katika jamii. Kupitia kipindi hicho, Pipy Tida huibua mada...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wasimamizi Interview: Kelele zinatufelisha

    Napenda kutoa dukuduku langu, yaani hawa wasimamizi wa written interviews za utumishi baadhi yao wanasababisha watu wanafeli yaani mshaanza wao ni kelele.
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
Back
Top Bottom