Kwan Dar ilianzaje, tembeeni sio. Mnapita barabarani tu viumbe nyie,Hata huko kwa kawaida bana 😹
Mbeya kupo hovyo ukweli usemwe, mji haujapangika kuwa jiji..!!
Unatufundisha kutembea sehemu tulizokaa likizo kwa bibi na babu?Kwan Dar ilianzaje, tembeeni sio. Mnapita barabarani tu viumbe nyie,
Mimi huwa naenda sana Mbeya kuna uswazi kama Mbalizi , mabatini,
Club nzuri nenda Elegance. ,club 404
Club mbili
Umri pia mdogo wangu, hauruhusu kuzurula sanaClub mbili tu?
Nashukuru kwa hoja yakoUnatufundisha kutembea sehemu tulizokaa likizo kwa bibi na babu?
Narudia tena OP yuko sahihi na wala sio vibaya kusema ukweli..!!
Muhimu serikali iweke mipango miji ya kueleweka, hatubomoi tunajenga..!
Acha kukasirika kisa umezaliwa huko okay?
Sikasiriki ni asili yangu , but kuibeza kizembe hivi si sawa.Club ipi wewe ulitembeaUnatufundisha kutembea sehemu tulizokaa likizo kwa bibi na babu?
Narudia tena OP yuko sahihi na wala sio vibaya kusema ukweli..!!
Muhimu serikali iweke mipango miji ya kueleweka, hatubomoi tunajenga..!
Acha kukasirika kisa umezaliwa huko okay?
Unatufundisha kutembea sehemu tulizokaa likizo kwa bibi na babu?
Narudia tena OP yuko sahihi na wala sio vibaya kusema ukweli..!!
Muhimu serikali iweke mipango miji ya kueleweka, hatubomoi tunajenga..!
Acha kukasirika kisa umezaliwa huko okay?
Dah! Kwahiyo wewe jiji unalitazama kupitia aina za club sio mpangilio wa mji?Sikasiriki ni asili yangu , but kuibeza kizembe hivi si sawa.Club ipi wewe ulitembea
Hapo utajichosha unabishana na mtu ambaye hataki kuambiwa ukweli..!!Nashukuru kwa hoja yako
Mji mbovu iringa the best some how
Nooo mwenye uzi alilinganisha kigezo cha club pia, I told him mimi umri wangu sio wa kuzulura.Dah! Kwahiyo wewe jiji unalitazama kupitia aina za club sio mpangilio wa mji?
Aiseee kama ndo hivi nasikia uvivu kukujibu..!
We unatafuta kuona maajabu?Ndio kuna maajabu?
Ooh! nimefika hapa kihesa iringa ngoja nikajione.Nime tokea kuto papenda kwasababu Mbeya ni kama kijiji kilicho changamka ni mji ambao hauvutii kabisa ni vibaya kuliita jiji licha ya kukusanya kodi nyingi ila mbeya ni pabovu sana sijui wenzanguu mna paonaje?
Nitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic?
Ata dodoma pazuri mji ulio anzishwa juzi tu
Upo mbeya sehemu gani mkuuKwan Dar ilianzaje, tembeeni sio. Mnapita barabarani tu viumbe nyie,
Mimi huwa naenda sana Mbeya kuna uswazi kama Mbalizi , mabatini,
Club nzuri nenda Elegance. ,club 404
Sipo mbeya mkuuUpo mbeya sehemu gani mkuu
Oook.... ila nadhani iringa ni pazuri kwa nilivyopaona this timeSipo mbeya mkuu