Nina dukuduku kuhusu Mbeya

Nina dukuduku kuhusu Mbeya

Kylor

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2023
Posts
498
Reaction score
1,278
Nime tokea kuto papenda kwasababu Mbeya ni kama kijiji kilicho changamka ni mji ambao hauvutii kabisa ni vibaya kuliita jiji licha ya kukusanya kodi nyingi ila mbeya ni pabovu sana sijui wenzanguu mna paonaje?

Nitajieni sehemu za starehee mbeya ambazo ni classic?

Ata dodoma pazuri mji ulio anzishwa juzi tu
 
Inategemea unatembea wapi kibaka wewe.Pita mitaa ya forest uhindini,
 
Back
Top Bottom