harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Mkuu hapa mbona amna utaniAiss...hebu acha utani mkuu mi natafuta mtaalamu anielekeze namna ya kumfanya awe attack dog
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mpangaji anarudigi kazini saa 6-7 usiku,jamaa wakati anahamia ilikua akirudi lazma niwe nje maana atabweka kuazia iyo saa 6 mpaka jamaa anaingia ndani analala ye anabweka tu. Hatari haijawah kututokea,so im not sure,ila am sure anaona wachawi koz kuna muda anabweka hata umfukuze umwagie maji anabweka tu Nonstop.Ahahahahah sipatii picha ukianza kumtukana ningekuwa nacheka mno, vipi akiona hatari anabweka sana ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa wako akija kusoma comment lazima awe mkali zamaulidAiss...hebu acha utani mkuu mi natafuta mtaalamu anielekeze namna ya kumfanya awe attack dog
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna police humu ujueChukua bangi iliyo nyingi kisha mfungie kwenye chumba kisichopitisha hewa,halafu iwashe iyo bangi mpaka halufu yote imuingie
Kazi unayo aiseee kwanini hukumpa mafunzo mapema[emoji23],,umenichekesha hapo eti anaonaga wachawi jamaniii leo mbavu zangu mimiKuna mpangaji anarudigi kazini saa 6-7 usiku,jamaa wakati anahamia ilikua akirudi lazma niwe nje maana atabweka kuazia iyo saa 6 mpaka jamaa anaingia ndani analala ye anabweka tu. Hatari haijawah kututokea,so im not sure,ila am sure anaona wachawi koz kuna muda anabweka hata umfukuze umwagie maji anabweka tu Nonstop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anafanya nakuwa mnyongeee...wife anamchukia ni hivi anajua akimlisha sumu nitajua kuwa ni yeye kafanya hivyo...
Nimekuambia nenda vichakani ukatafute,hapo unapoishi hakuna vichaka jirani?ni majani unayoyafahamu sana tu,usiende porini huenda hata nje kwako yapo...kama wewe ni wale wa dar basi fanya hivi,chukua pilipili ya unga kidogo halafu kama mbwa wako ni dume basi mtomase tomase sehemu za siri hadi aliamshe dude kisha nyunyiza kiwango kidogo kwenye mkuyenge wake(hii ni kwa ajili ya mbwa dume tu)kisha muache bila kumfunga.Tahadhari:hatabweka siku hiyo ila ataonesha mabadiliko ya tabia kwa muda kama kuparamia miti na kukimbiza vitoto vya kike vidogo,usiwaze.Ila kuanzia siku inayofuata utampenda bure.Sasa huku Dar hayo majani nayapata wapi...unapicha yake hayo majani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ananitafutia tatizo jingine...labda ningeenda naye tarime akavute pale polisi wanapoteketeza mashamba ya bangi!
Jaribu kumvutisha bangi
Nilimpa yakapitiliza,nilikua nataka abweke sasa nayeye ana nature ya kubweka,jumlisha training kidogo,basi kawa hivi,ila saivi hapa home heshima majiraniwapangaji na watoto wao hamna mazoea ya kiboyaboya hata nikisepa narudi nakuta things in order just like i left the.Kazi unayo aiseee kwanini hukumpa mafunzo mapema[emoji23],,umenichekesha hapo eti anaonaga wachawi jamaniii leo mbavu zangu mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wakali pia mkuu huyu wangu asifanye uwadharau mbwa wa DarKambwa ka Daslam
Nitamtafutia mwingineKama kweli una kiu fanya hivi; 1. Mtafutie mbwa mwingine wa pili. Mbwa hawi mkali akiwa peke yake. 2. Usimfungue kila saa tena unapowaweka mbwa isiwe karibu na mahali pana activities nyingi za watu.
Usibadilibadili mahali/chombo anapolia/kulia chakula. 3. Usimtupie chakula chini
Du...haya bana ila wangu ni jikeNimekuambia nenda vichakani ukatafute,hapo unapoishi hakuna vichaka jirani?ni majani unayoyafahamu sana tu,usiende porini huenda hata nje kwako yapo...kama wewe ni wale wa dar basi fanya hivi,chukua pilipili ya unga kidogo halafu kama mbwa wako ni dume basi mtomase tomase sehemu za siri hadi aliamshe dude kisha nyunyiza kiwango kidogo kwenye mkuyenge wake(hii ni kwa ajili ya mbwa dume tu)kisha muache bila kumfunga.Tahadhari:hatabweka siku hiyo ila ataonesha mabadiliko ya tabia kwa muda kama kuparamia miti na kukimbiza vitoto vya kike vidogo,usiwaze.Ila kuanzia siku inayofuata utampenda bure.
Hahahaha, mbwa wako anashangaza ndo maana, ila mvutishe bangi kama unavyoshauriwa.