Nimfanyeje huyu mbwa?

Ulimnunua?kama ulimnunua alibebwa na nani kumleta kwako?kama aliyembeba siku ya kwanza kumleta kwako ana asili ya upole/muoga wa ugomvi/kupigana,kama ni mwanamke pengine alikuwa kwenye siku zake ama usiku wa kuamkia siku aliyombeba alitoka kutoa uroda kwa mumewe/hawara kwa shingo upande,ama ni mama huruma hapo mtaani....Sasa fanya hivi,zunguka vichakani tafuta majani yanaitwa mzalizali(yako kama majani ya mlenda pori),yafinyangefinyange hadi yatoe majimaji ya kijani kama juisi ya parachichi halafu mshike umnyweshe walau kijiko kimoja tu.Tahadhari:atakuwa mkali hadi kero,majirani watakushauri umuue maana ana kichaa lakini wewe usiwasikilize.
 
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huku Dar hayo majani nayapata wapi...unapicha yake hayo majani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka mbwa wako likidondoka hata jani anabweka,,ila mbwa siwapendei hapo tu kwenye kubweka jamani kelele sana

Sent from my SM-T230NU using JamiiForums mobile app
Yani huyu mi ananitiaga hasira hadi namtukanaga,yani anaeza akakaa katulia afu umeme ukikatika ghafla anabweka,usiku ukiamka ukawasha taa ndani anabweka,***** namuitaga SHISHI BABY yani asisikie kitu Ila saivi nishamjulia dawa yake kuna kimdoli flani hivi kama cha mpira kwaiyo akianza ungese wake usiokua na kichwa wala miguu nikimtupia icho kimdoli kinavyobounce kinamkeep busy ndo nalala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua bangi iliyo nyingi kisha mfungie kwenye chumba kisichopitisha hewa,halafu iwashe iyo bangi mpaka halufu yote imuingie
 
Ahahahahah sipatii picha ukianza kumtukana ningekuwa nacheka mno, vipi akiona hatari anabweka sana ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du hilo jina lake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…