Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Hakuna haja ya kumpiga bana..
Kama una wasiwasi anamvalia mtu,ungemwekea shushushu tu ili kujiridhisha..
 
Hizo shanga kuna mtu anavaliwa,haiwezekani akiwa ndani avae moja akitaka kutoka avae rundo.
Vizuri sana,tena mkanye kuvaavaa shanga ovyo,na ujaribu kumdadisi nyendo zake isikute kuna mtu anapakua taratibu.
Mkuu mbona kabla ya siku ya tukio, jamaa mwingine amekuwa akipakua!!!
 
Hahaha wanaume viumbe wa ajabu sana wao kuchepuka sawa sawa tena ni urijali Ila mwanamke akichepuka ni kesi kubwa sana yaani inawauma hatari.
 
Hahaha wanaume viumbe wa ajabu sana wao kuchepuka sawa sawa tena ni urijali Ila mwanamke akichepuka ni kesi kubwa sana yaani inawauma hatari.
Rejea hata kwenye vitabu vitakatifu mkuu, hiyo ni nature yetu nyie mnataka kujivisha uanaume lazima muumie..
 
hakika ukiwa makini kuwafuatilia wanawake unaweza omba waingie kwenye maajabu ya dunia....
 
Umenifurahisha kwa kelbu moja. Ndo dawa yao hiyo, ubabe tu.
 
shida kubwa watu tumeoana tukiwa malaya. Uliyembikiri si uliyemuoa na aliyekuoa siye aliyekubikiri. Na siku mbili au moja kabla ya ndoa ulikwenda eti kuagana naye usiku kucha, akakupa zigo la shanga...............
 
Kelbu moja, rudisha heshima nyumbani.
 
Hahaha wanaume viumbe wa ajabu sana wao kuchepuka sawa sawa tena ni urijali Ila mwanamke akichepuka ni kesi kubwa sana yaani inawauma hatari.
Hiyo ni baiolojia huwezi kupindisha asili
 
Sasa hapo umetib ugonjwa m1,bado mwingne,..ya kwamba,huyo kashaliwa,na umeshalitambua hilo,sasa unachkua hatua gan.au umetib jip kwa juu tuu,..?
 
Duh! Pole sana Mkuu
Tambua kabisa alikokuwa anakwenda si kwa usalama wa mapenzi yenu. Alikuwa analiwa huyo.
Hongera kwa kibao ulichotoa.
 
Mkuu umekosea kumpiga,ungemwambia nenda tu kat....om.....bw,,,e!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…