Nimewakumbuka tu hawa watu

Nimewakumbuka tu hawa watu

Mkuu wala hilo lisikukoseshe raha Mkuu wangu, kuna watu hapa karibu robo milioni si rahisi kukumbuka kila mtu mkuu.

Have a great weekend 🙂
:yo: :yo: :yo:

Mkuu heshima kwako na nakutaka radhi sana kwa kukusahau nilipitiwa tu mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:


Daah! mkuu kitambo sana, Mambo vipi lakini? Nashukuru Mungu bado tupo hai, hao ulowataja nimewakumbuka pia. Hasa huyo namba ya kati Preta, sijui alinipa limbwata!, maanake simsahau kabisa hadi namuota. kuna na viumbe wengine pia nawakumbuka kila siku, Husninyo, na Mnyonge wangu Dena Amsi wakina bebii sikuhizi naona wanajiita Smile, yule popo bawa sijui anajiita Washawasha yaani watu mpaka basi. mia

Halafu wewe ngoja tu
 
Last edited by a moderator:
Yes, amemaliza, asante hata kwa kukumbuka; nimebanwa sana nilitaka niweke uzi, ili wazazi wawaandae watoto wao hasa wa kike kiakili kwa ajili ya kwenda jkt;.
............. nimekusikiliza.
Binti kamaliza JKT? Hongera zako nyingi kwa kazi nzuri ila uachane na hao MAFISIEM wanaidumaza akili yako.
 
blaza shikamoo...

Marhaba dogo hujambo? Haya weekend hii usije ukaiba gari ya maza halafu ukampa mchuchu apige misele si uliona yule mwenzio mchuchu alitaka kugeuza swift kuwa boti
 
umenisusa sana. mia
Siwezi kukususa dada yangu. Nipo busy kidogo. Sana sana nakuombea baraka na fanaka kwa kila jambo ufanyalo. Nimekuweka moyoni dada yangu. Ukimya haumanishi kuktenga bali shughuli za kila siku zimetuweka mbalimbali. Tuzidi kuombeana. Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom