Nimewakumbuka tu hawa watu

Nimewakumbuka tu hawa watu

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Last edited by a moderator:
Lizzy charminglady afrodenzi Kongosho Mwali snowhite The Finest Mr.Rocky figganigga Madame B Mamndenyi Russian Roulette Smile Preta Bishanga FaizaFoxy Bujibuji AshaDii na wale wote Old school wenzangu. Nimewakumbuka tu ndugu zangu hope mmekuwa watazamaji zaidi kama mimi mwenzenu

Daah! mkuu kitambo sana, Mambo vipi lakini? Nashukuru Mungu bado tupo hai, hao ulowataja nimewakumbuka pia. Hasa huyo namba ya kati Preta, sijui alinipa limbwata!, maanake simsahau kabisa hadi namuota. kuna na viumbe wengine pia nawakumbuka kila siku, Husninyo, na Mnyonge wangu Dena Amsi wakina bebii sikuhizi naona wanajiita Smile, yule popo bawa sijui anajiita Washawasha yaani watu mpaka basi. mia
 
Last edited by a moderator:
Tupo sana tu.........wengi tushakatika mabawa haturuki tena........
Halafu wewe figganigga.......nakutafuta........

Hilo tu wala usijali maana nina SUPA GLUU, PATEKSI NA ALADAITI Pamoja ntakuunganisha wala usijali
 
Wengi ya uliowataja siku hizi wanaonekana kwa manati kweli humu.
 
Tupo sana tu.........wengi tushakatika mabawa haturuki tena........
Halafu wewe figganigga.......nakutafuta........
Nashangaa kwanini hadi sasa tunaishi hivi. Nicheck kwenye simu fasta. Hii dunia inaweza kukufanya upotezane na ndugu. Asante sana M'Jr kwa kumleta huyu, anaonekana kwa manati. Mambo vipi Katavi? mia
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu Katavi nilipitiwa sikukutaja na wewe, habari ya siku tele?
Nzuri kabisa M'Jr,,,,,,,,,nipo poa. Majukumu ya hapa na pale ndio yanasababisha tunapotezana.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mkuu huwezi amini nimefurahi sana kukuona make nilidhani umepotea kwenye ile ajali...

Welcome back...

Hahahahaa sikupotelea kwenye lile tukio ndugu yangu bado nipo hai kabisa. Ila sie twafanya vibaya, na ujirani wote huo hata kutakiana hali jamani! charminglady
 
Last edited by a moderator:


Daah! mkuu kitambo sana, Mambo vipi lakini? Nashukuru Mungu bado tupo hai, hao ulowataja nimewakumbuka pia. Hasa huyo namba ya kati Preta, sijui alinipa limbwata!, maanake simsahau kabisa hadi namuota. kuna na viumbe wengine pia nawakumbuka kila siku, Husninyo, na Mnyonge wangu Dena Amsi wakina bebii sikuhizi naona wanajiita Smile, yule popo bawa sijui anajiita Washawasha yaani watu mpaka basi. mia

umenisusa sana. mia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
M'Jr, asante hata kwa kunikumbuka,
Nakupa wimbo mmoja wa Abwene Mwasongwe
unasema 'SIJAWAHI ONA UPENDO KAMA HUU' BAK saidia kuniwekea huo wimbo.
Mkuu hope ulikuwa unamaanisha wimbo huu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom