Sasa hivi nataka bodaboda ...... Lol!
kwanini hutaki gari mkuu?
sasa nenda kanunue bodaboda kkoo ila angalia kuna zingine ni feki
za kichina wasijekuuzia pakacha uwe makini bodaboda nzuri ni aina
ya fekon, lg, na honda kwa biashara nzuri sana ukipata hizo zitakutoa
kwani zinapiga route ile mbaya na ni imara angalia zile zinazotoka japan
ndo nzuiri sana kwa biashara mkuu ukijipanga vyema nishutue nikusindikize
kununua
Wala usijali mama, mi mgeni mjini lazima niwe na mwenyeji ati........!
Hapo umenena, ili chenji inayobaki tutafute sehemu tuimalizie
Lingine Lipo ila tutaongea tukiwa tunafanya shopping
Umenifanya nami nicheke kwa nguvuuu
Sio porojo ni kweli
Bestito kwani ushaamua kunipiga chini eeeeh!!kama ni kweli acha nivumilie na kusubiria kwani wanasema mvumilivu hula mbivu
uko wapi hapa tanzania?
Bestito kwani ushaamua kunipiga chini eeeeh!!
bestito kwani ushaamua kunipiga chini eeeeh!!
Lini tuonane ili nisikupige chini?
Bestito hata saivi. Vipi unapatikana wapi jijini...!
Haaa si umenambia ushampiga chini jamani!
nipo dar / kndoni