nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,910
Miss u too baby
Mwanyasi mbona nipo sana tu kila sikuhalafu na wewe
yanini kupotea hivo?
kama ni hivyo mimi ndie nimepotea....... ,nitakuwa nakupitia tukale mapela
Nipogo sana mpenzi. Wapi Bishanga?
wamepotea moja kwa moja?Lizzy charminglady afrodenzi Kongosho Mwali snowhite The Finest Mr.Rocky figganigga Madame B Mamndenyi Russian Roulette Smile Preta Bishanga FaizaFoxy Bujibuji AshaDii na wale wote Old school wenzangu. Nimewakumbuka tu ndugu zangu hope mmekuwa watazamaji zaidi kama mimi mwenzenu. Kipekee kabisa nimekukumbuka sana ladyfurahia
Yes, amemaliza, asante hata kwa kukumbuka; nimebanwa sana nilitaka niweke uzi, ili wazazi wawaandae watoto wao hasa wa kike kiakili kwa ajili ya kwenda jkt;.
............. nimekusikiliza.